King Nkondo
JF-Expert Member
- Jan 1, 2023
- 2,374
- 3,311
Tatizo ni Heche hela nyingi zinaelekezwa kwenye pagale la heche na michezo ya chadema ni wakipata milioni 5 inatangazwa milioni moja na laki tano.changamoto ni nini hata milioni mia3.34 iwatoe jasho chadema kiasi hiki?
mbona ni fedheha sana aise 🐒
hivi tukikopa kwa kitoto kichanga cha Diamond, tumelizie hiyo milioni 13 halafu iwe inarejeshwa kidogo kidigo itakua vibaya gentleman?Bado milioni 13 tu.
Pumbavu wewe hapo ulipo una maisha ya dhiki kaa pembeni hatujakuomba msaada.hivi tukikopa kwa kitoto kichanga cha Diamond, tumelizie hiyo milioni 13 halafu iwe inarejeshwa kidogo kidigo itakua vibaya gentleman?
maana wanachama milioni 7 hawawezi kubabaika kuchangia milioni mia3.34 kiasi hiki gentleman.
hii ni aibu sana aise 🐒
Utekaji ndo unaokupa posho.nadhani hii haihusiani na hoja mahususi mezani gentleman, right?
umeposti kujifurahisha tu jukwaani, right?🐒
tuliza mihemko kidogo ponjoro,Pumbavu wewe hapo ulipo una maisha ya dhiki kaa pembeni hatujakuomba msaada.
kuna mdau moja kaniuliza mbona michango ya tonetone badala uongezeke inashuka? Nikakwambia nafuatilia kujiridhisha.CHADEMA kukusanya milioni 334 kwa wiki kadhaa ni aibu. Enzi za Mbowe walichanga 350m ndani ya siku 1 kulipa faini mahakamani. Leo hii 334m inachukuwa mwezi mzima ni aibu kuu. Ninawapongeza wananchi kwa kugoma kuchanga.
Relax bas gentleman ni milioni mia 3.34, okay?Kwa ivo kuna siku CHADEMA walitaka kuchangisha mia 3.34?
Hizo shilingi mia tatu na senti thelathini na nne zitafanya kitu gani ndani ya CHADEMA?
kwahiyo heche ni kama vile Lionel Messi akiwa uwajani, kwenye kupiga pesa za chadema, right?Tatizo ni Heche hela nyingi zinaelekezwa kwenye pagale la heche na michezo ya chadema ni wakipata milioni 5 inatangazwa milioni moja na laki tano.
Una ushahidi wa hili jambo?Tatizo ni Heche hela nyingi zinaelekezwa kwenye pagale la heche na michezo ya chadema ni wakipata milioni 5 inatangazwa milioni moja na laki tano.
Kwenye hayo madili heche ni anaupiga mwingi kama messi!!kwahiyo heche ni kama vile Lionel Messi akiwa uwajani, kwenye kupiga pesa za chadema, right?
Hakuna cha lengo wala nini. Wana CHADEMA wamechoka kufanywa Mandondochaau wameshafikia lengo?
maana hua wanadai chama chao ni maarufu sana na kina watu wengi mno?
Ushahidi upo mwingi sana!! Ndomana viongozi wa chadema kanda na mikoa wanashinikiza heche ajiuzulu sababu ya huu upigaji!!!Una ushahidi wa hili jambo?