Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 25,982
- 51,157
Hii ni ishara kuwa asili ya Umaskini wetu imo Kwa watu wa aina yako waliomo CCM.kwahiyo gentleman,
Safari ya Chadema ya kupata milioni mia3.34 ni suala la ujinga ujinga tu, right?
mbona unadharau mipango mikakati ya watu aise?π
Inawezekana wana wanachama wengi ila wameshakata tamaa kwenye kuchangia. Hiyo hela hata wanachama 50000 tu wenye moyo wa kuchangia wangechangia kwa siku 1 tu.kuna mdau moja kaniuliza mbona michango ya tonetone badala uongezeke inashuka? Nikakwambia nafuatilia kujiridhisha.
kwa picha ya michango ilivyo,
sidhani chadema kama inawanachama zaidi ya laki2 nchi nzima π
CHADEMA mna Wanachama wangapi?Hii ni ishara kuwa asili ya Umaskini wetu imo Kwa watu wa aina yako waliomo CCM.
Unataka update za nini wakati hakuna shilingi yako hapo wewe Dada chawaNaona hakuna updates tena kama awali, kuna changamoto yoyote?π
Mungu Ibariki Tanzania
Pet-Boujiures hawapo CDM maana hawana cha kubadirishana naoGentleman,
changamoto hasa hua ni nini hata katoto kachanga ka chini ya wiki moja, kanachangiwa na mtu moja tu milioni zaidi ya 50, halafu wanaojiita ambosdodors wa chadema kwa ujumla wao, kwa mbinde sana wanachangia tu milioni tuwili tu kwenye chama chenye umri wa zaidi ya miaka 20?π
Ccm haina wanachama wote waliopo kwenye hicho chama cha kigaidi ni machawaCHADEMA mna Wanachama wangapi?
Naona hakuna updates tena kama awali, kuna changamoto yoyote?π
Mungu Ibariki Tanzania
Waendelee kutumia nguvu ya umma kama wanavyofanya sasaunawashauri nini chadema?π
Duh,