Safari ya kujitafuta 2025 inaanzia hapa! Hisa 129,700 za CRDB, NICOL 3864, UTT 400k safari inaendelea

Safari ya kujitafuta 2025 inaanzia hapa! Hisa 129,700 za CRDB, NICOL 3864, UTT 400k safari inaendelea

🥶Mkoani kwetu madereva wa halmshauri, tarura nawakuta baa Kila siku utasema hawa wanashida.

Take home yao labda tuseme ni 🤣600k kwa 700k Ata save 200k Kila mwez
bro kwani unajua dereva wa halmashauri analipwa bei gani??

Tofautisha dereva wa taasisi na dereva wa halmashauri😄

Atleast madereva wanaoendesha wakuu kama DED au DMO angalau wana viposhoposho.
 
Unafkr mkuu kati waajiriwa wa tamisemi na wafanyabiashara nani mwenye unafuu
Watu wengi wanaotamba mjini ni wazee wa one two one two,gusa achia piga pale asikudanganye mtu. Mishahara haitoshi na sio kila sehemu kuna hivyo viposho posho.
 
akisimamia dili zake anapiga fresh yaani mwaka mzima average kila mwezi apige dili la million 3.

Watu wanakula kwa urefu wa kamba mzee, huwezi jua jama yupo KITENGO gani ila kwa maelezo yake hawezi kuwa halmashauri😄😄😄
Akipiga 3m kwa mwaka ni 36m bado sio 40m
 
Ila umenikumbusha siku moja nilienda Cota moja hivi nilzokulia huwezi amini nyumba zimejengwa 1980 mpka Leo zipo hvo hivo watumishi wanaishi utadhani zizini mkuu nimekulia kwenye hizo nyumba nimeondoka 2009 mwanzoni lakini nimerudi nyumba hzo ziko hivo hivo 🙌
Ni shida hiyo wizara ni kubwa sana hata management yake inakuwa ngumu.
 
Kuna level ya maisha ukifika au ukitaka kufika inabidi uongeze vyanzo vya mapato badala ya kuhangaika kujibana.
Swali pili kampuni nyingi zinawanyima mshahara wafanyakazi, Zinapunguza wafanyakazi, zinatafuta cheap labour wa kupewa taski nyingi kwa mshahara mdogo👈hizi zote ni nini kama sio mbinu za kujibana boss wangu??
 
Itategemea na kitu unachokiamini; ingawa ukizama sana ndani, utagundua ata unachokiamini hakipo, bali ni miradi ya watu tu.
Sizungmzii kwenda church mkuu ukiwa mwnyw aidha ofisini au home huwa naona wa ndugu zangu makobazi wanajenga vyumba maalum vya kufanyia ibada je hapo waNampa sadaka nani?
 
Swali pili kampuni nyingi zinawanyima mshahara wafanyakazi, Zinapunguza wafanyakazi, zinatafuta cheap labour wa kupewa taski nyingi kwa mshahara mdogo👈hizi zote ni nini kama sio mbinu za kujibana boss wangu??
Ha ha ha nimecheka tu.
 
Back
Top Bottom