Mtajuaje mkuu,Hizi ni siri zako
Hujatuambia kuwa umetueleza kwa nia ya kutuinspire, kutufunza au lah.Siri za Nini sasa?
Split ikikamilika mwakani muda kama huu bei itakuwa 2000+ mwenye kiamini na aaminiUkiangalia trend kwa miaka minne ya nyuma hadi leo unapo nunua hisa kumekuwa na ongezeko la kiasi gani kwa kila hisa kwa kila mwaka ulio ndani ya hii miaka minne iliyo pita?
Inakusaidia ku predict hisa zitakuwa bei gani hapo mwakani?
Utakuwa umetengeneza kiasi gani kwa makadirio nje ya mtaji wako?
Ahsante
No offence, ila hii nayo ya kusubiri kuambiwa?!Hujatuambia kuwa umetueleza kwa nia ya kutuinspire, kutufunza au lah.
Taasisi gani hiyo unayofanyia kazi yenye kutoa riba 2% kwa Mwaka kwa muda wa miaka 5.Habari,
NMB ni mojawapo ya bank Bora Tanzania. Ni bank inayofanya vizuri sokoni...... Nilikuwa na Malengo ya kununua tokea kitambo ila bei ilikuwa un-affordable kwa pesa kidogokidogo kwa hisa moja ilifika 10,000+. Sasa nimepewa mkopo kazini wenye riba ya 2% p.a kwa 5years ambayo ni ml 50 nikiongeza na magawio yangu kwenye hisa, nimeweza kuwa na 87ml na zote nimenunulia hisa za NMB kwa 15000 kwa hisa! Tukumbuke Nina hisa zingine huko so hapo nimeongeza uzito zaidi.
Split ya hisa itafanyika kwa ratio ya 1:10 na kufanya upatikanaji uwe rahisi na wengi kuupata fursa ya kumiliki bank kubwa zaidi Tz.
Liwalo na liwe..........Mrejesho utakuja mwakani muda kama huu
NB; Uoga wako utakuingiza kwenye umaskini daima kwa watu kukuogopesha. NMB ILIPOFIA HAIJI KUFILISIKA
Asante.
Labda mikopo ya BOTTaasisi gani hiyo unayofanyia kazi yenye kutoa riba 2% kwa Mwaka kwa muda wa miaka 5.
BoT, Pension Funds, etc Wana mikopo ambayo ni zero interest kwa Wafanyakazi wao ndiyo maana wanaishi Maisha mazuri sanaLabda mikopo ya BOT