Hisa zinalipa ukipatia-hati funagni ni salama zaidi ya hisa.Hati fungani ya miaka 25 na hizi Hisa, kipi kinalipa na ni salama zaidi?.
Tukipewa codes maneno tukinyimwa maneno ila waja 😂😂Utajiri kutangazwa hadharani hivi, haya ni maajabu ya Karne🤔🙄
Ubinadamu kazi sana mkuuTukipewa codes maneno tukinyimwa maneno ila waja 😂😂
HakikaUbinadamu kazi sana mkuu
Inategemeana na risk appetite yako, hatifungani ni uwekezaji salama zaidi wenye constant earnings (12% or 15 p.a)Hati fungani ya miaka 25 na hizi Hisa, kipi kinalipa na ni salama zaidi?.
Changamkia fursa mrembo acha kusitasita .Sio kila tajiri ana roho ya korosho na isitoshe hii ni familia moja inayopewa nguvu na anonymity..Utajiri kutangazwa hadharani hivi, haya ni maajabu ya Karne🤔🙄
Amna effect yoyote zaid hisa anazomiliki Nicol kwa NMB ni 20m zitaenda mpaka 200m..Baada ya split itakuwa na athari gani kwa kampuni kama nicol ambao wamewekeza zaidi Nmb?
Ni kwel mkuu ila saiv hii speed siwezi ngoja ipoe.Ukinunua hata sasa sio mbaya
Kwanini? Sentiments lazima zichange na ukumbuke hisa yao inauzwa at discountHakuna athari
Sentiments za wawekezaji lazima zitaswing either negatively ama positivelyAmna effect yoyote zaid hisa anazomiliki Nicol kwa NMB ni 20m zitaenda mpaka 200m..
Ila my expectation after share split NMB itagrow kutokana wana 33% share kwa public asilimia kubwa NMB share zimekuwa hold na institution..