Mtili wandu
JF-Expert Member
- Dec 15, 2012
- 11,047
- 16,378
Miye sijawahi ona mtu anakupa siri ya mafanikio yake naapia wewe wa kwanza kwangu.
Hongera sana mkuuMimi nilinunua 15000 week iliyopita
FOM.Habari,
NMB ni mojawapo ya bank Bora Tanzania. Ni bank inayofanya vizuri sokoni...... Nilikuwa na Malengo ya kununua tokea kitambo ila bei ilikuwa un-affordable kwa pesa kidogokidogo kwa hisa moja ilifika 10,000+. Sasa nimepewa mkopo kazini wenye riba ya 2% p.a kwa 5years ambayo ni ml 50 nikiongeza na magawio yangu kwenye hisa, nimeweza kuwa na 87ml na zote nimenunulia hisa za NMB kwa 15000 kwa hisa! Tukumbuke Nina hisa zingine huko so hapo nimeongeza uzito zaidi.
Split ya hisa itafanyika kwa ratio ya 1:10 na kufanya upatikanaji uwe rahisi na wengi kuupata fursa ya kumiliki bank kubwa zaidi Tz.
Liwalo na liwe..........Mrejesho utakuja mwakani muda kama huu
NB; Uoga wako utakuingiza kwenye umaskini daima kwa watu kukuogopesha. NMB ILIPOFIKA HAIJI KUFILISIKA
Asante.
Daah hongera now zinefika 16100Mimi nilinunua 15000 week iliyopita
Hata mm nashangaa hili sana kwenye soko, sijui kwa nini hawaioni potential ya nicol.FOM.
Wengine tubapambana na NICOL wetu na CRDB, mtatukumbuka baadae,
Wanahisa wapya wanaamini baada ya split itapanda tena kufika 15k. big players wanasoma ramani, baaday ya gawio wanauza wanaacha watu na machozi, yetu macho!Hata mm nashangaa hili sana kwenye soko, sijui kwa nini hawaioni potential ya nicol.
Hati fungani ya miaka 25 na hizi Hisa, kipi kinalipa na ni salama zaidi?.Kabisa
Especially mtanzania🤔Miye sijawahi ona mtu anakupa siri ya mafanikio yake naapia wewe wa kwanza kwangu.
Weee ulishawahi kuona miye sijawahi utasikia mchongo nawahi lkn hakuambii nini kinampa pesa.Especially mtanzania🤔