Safari ya kununua hisa za NMB inaanzia hapa. Ml 87 stake, liwalo na liwe!

Kwa sisi tunaoanza Wacha zifanyiwe split kwanza.
Kwanini usubiri mpaka split ifanyike unaogopa ninii?
1.Je unaogopa mamlaka za usimamizi zitawakatalia NMB. Au
2.Unaogopa hisa zitaweza kushuka.

Maana kama namba 1 ni uhakika ukweli ni kwamba anayenunua sasa ana faida zaidi ya anayesubiri anunue baada ya split maana bei itazidi kupanda zaidi na zaidi na anayenunua sasa kwa 16K ni sawa na ananunua kwa 1.6K maana effect ya 1:10 ni sawa na imeanza kufanya kazi.
 
Waache ili waje kuikimbiza bei
 
Bei mkuu aiend hivo itashuka ila sio kwa kudivide na 10 fuatilia split za CRDB ( 2006-2009) pia fuatilia split za equity bank ya Kenya utaona kuwa bei aiend hivyo.
 
Elezea inakuaje mkuu..Maana wengine tunajua kama split ni 1:10 it means siku ikifika mamlaka za usimamizi zikaruhusu na ikawa labda NMB imefika 20K kwa wakati huo basi thamani ya hisa itabadilika na kua 20K÷10 =2K automatically na kuanza ama kupanda au kushuka kwa benchmark hiyo ya 2K.
 
Upo sahihi
 
Back
Top Bottom