Soulja boy
JF-Expert Member
- Oct 3, 2015
- 4,818
- 8,451
Wekeza sana kwenye hisa kuliko mutual fund hasa ukiwa kijana.
Mkurupukaji huyouna uhakika na ulichoandika?
Kama una uhakika sawa,ila kama hauna sema tukusaidie..
Wee nenda kalime. Kilimo kinalipa.Watu wataona kama mzaha ila wakija kuupitia huu uzi miaka hiyo wataona kama ni miujiza!