Safari ya kununua hisa za NMB inaanzia hapa. Ml 87 stake, liwalo na liwe!

Mnaokota hisa sokoni? Au mnasubiri mpaka zianze kupanda ndo mnunue 😂😂😂
Kuna kushuka zaidi sijui Sokoni kuna taarifa gani nime project zinaweza ku heat 1,500-1,600 hapo nashauri bora hata ukope ununue ila Muanzisha Uzi alinunua kwa 15,000/share lazima tumbo litakua linamuuma sana kwa sasa.
 
Share split ilifanyika so share moja zikawa 10. So sijapoteza chochote pia kuna hisa nilizinunua kwa 6400 wayback leo hii hizo hisa ni karibia mara 3 ya bei niliyonunulia. Usiogope soko kwa kupanda na kushuka….Jiulize je NMB imefanya vibaya? Uchumi umeyumba? Bei imepanda sana? Kama metrics zote still supportive, hold and keep buying more!
 
In monetary value 87m yako sasa ni 11m naona NMB hisa zake ziki drop zaidi na mapema 2028 Ruth Zaipuna ataondoka hii news kwenye Market siyo nzuri labda aje immediate replacement atakayefanya isiyumbe
 
Habari,

NMB ni mojawapo ya bank Bora Tanzania. Ni bank inayofanya vizuri sokoni...... Nilikuwa na Malengo ya kununua tokea kitambo ila bei ilikuwa un-affordable kwa pesa kidogokidogo kwa hisa moja ilifika 10,000+.

Sasa nimepewa mkopo kazini wenye riba ya 2% p.a kwa 5years ambayo ni ml 50 nikiongeza na magawio yangu kwenye hisa, nimeweza kuwa na 87ml na zote nimenunulia hisa za NMB kwa 15000 kwa hisa! Tukumbuke Nina hisa zingine huko so hapo nimeongeza uzito zaidi.

Split ya hisa itafanyika kwa ratio ya 1:10 na kufanya upatikanaji uwe rahisi na wengi kuupata fursa ya kumiliki bank kubwa zaidi Tz.

Liwalo na liwe.......... Mrejesho utakuja mwakani muda kama huu

NB; Uoga wako utakuingiza kwenye umaskini daima kwa watu kukuogopesha. NMB ILIPOFIKA HAIJI KUFILISIKA

Asante.

Du, umepata mkopo wa 50m wenye riba ya 2% Tanzania? Labda bank ya kiislam
 
In monetary value 87m yako sasa ni 11m naona NMB hisa zake ziki drop zaidi na mapema 2028 Ruth Zaipuna ataondoka hii news kwenye Market siyo nzuri labda aje immediate replacement atakayefanya isiyumbe
Piga hesabu vizuri. Nilinunua 15,000 kwa hisa sawa na hisa 5800 then spit ya hisa ikafanyika kwa 1:10 so nikawa na hisa 58,000. Mara 2000 bei ya juzi sawa na 116,000,000 toa 87,000,000 niliyonunulia, so capital gain ni 29m
 
In monetary value 87m yako sasa ni 11m naona NMB hisa zake ziki drop zaidi na mapema 2028 Ruth Zaipuna ataondoka hii news kwenye Market siyo nzuri labda aje immediate replacement atakayefanya isiyumbe
Ruth atamaliza muda wake 2030 lakini kumbuka bank ni taasisi so huwezi sema mtu akistaafu ama kufa so na taasisi itakufa. Mafanikio ya NMB hayafanywi na Ruth pekee!
 
Hisa za NMB zimeshuka mpaka tsh 2040/= kwa hisa moja
Hongera ndugu mwekezaj kwa kupata hasara
Kutoka kununua hisa yenye thamani ya afu 15 mwezi july,octoba hii imeshuka hadi 2040, hasara ya tsh 12960/= kwa kila hisa
una uhakika na ulichoandika?
Kama una uhakika sawa,ila kama hauna sema tukusaidie..
 
Hisa za NMB zimeshuka mpaka tsh 2040/= kwa hisa moja
Hongera ndugu mwekezaj kwa kupata hasara
Kutoka kununua hisa yenye thamani ya afu 15 mwezi july,octoba hii imeshuka hadi 2040, hasara ya tsh 12960/= kwa kila hisa
Kiazi kweli! Huko nyuma walifafanua kuhusu share split. Hebu soma kwanza!
 
Hisa za NMB zimeshuka mpaka tsh 2040/= kwa hisa moja
Hongera ndugu mwekezaj kwa kupata hasara
Kutoka kununua hisa yenye thamani ya afu 15 mwezi july,octoba hii imeshuka hadi 2040, hasara ya tsh 12960/= kwa kila hisa
Hisa hazijashuka toka 15k kuja 2,040.

Kwa lugha nyepesi zimepanda kutoka 15k mpaka 20,400/= yani jamaa kakunja faida ya sh 5400 kila hisa au kwa kifupi zimepanda kutoka 1500 kwenda 2040 faida ya 540...

Elewa vyovyote ila fahamu kapata faida.
 
Acha uongo man Umeingia kwenye Website ya DSE mda huu ukaona Closing Price?
 
Back
Top Bottom