malembeka18
JF-Expert Member
- Jan 26, 2018
- 3,913
- 4,695
Kabisa mdogo mdogo,namim ngoja nianze kujolisajili Bado Sina elimu yoyote juu ya hisaTunasonga mdogo mdogo. Waoga na matomaso endeleeni kuogopa
Kabisa mdogo mdogo,namim ngoja nianze kujolisajili Bado Sina elimu yoyote juu ya hisaTunasonga mdogo mdogo. Waoga na matomaso endeleeni kuogopa
Uliyoandika yote ni point isipokuwa tu hapo uliposema kwamba NMB haiji kufilisika.Labda ni kusaidia kufahamu kwamba NMB inaweza kufilisika.Ispofilisika kwa sababu ya Mabadiliko ya soko itafilisika kwa sababu ya uzembe(complacency),Ama la basi itafilisika kupita Natural Process.Habari,
NMB ni mojawapo ya bank Bora Tanzania. Ni bank inayofanya vizuri sokoni...... Nilikuwa na Malengo ya kununua tokea kitambo ila bei ilikuwa un-affordable kwa pesa kidogokidogo kwa hisa moja ilifika 10,000+.
Sasa nimepewa mkopo kazini wenye riba ya 2% p.a kwa 5years ambayo ni ml 50 nikiongeza na magawio yangu kwenye hisa, nimeweza kuwa na 87ml na zote nimenunulia hisa za NMB kwa 15000 kwa hisa! Tukumbuke Nina hisa zingine huko so hapo nimeongeza uzito zaidi.
Split ya hisa itafanyika kwa ratio ya 1:10 na kufanya upatikanaji uwe rahisi na wengi kuupata fursa ya kumiliki bank kubwa zaidi Tz.
Liwalo na liwe.......... Mrejesho utakuja mwakani muda kama huu
NB; Uoga wako utakuingiza kwenye umaskini daima kwa watu kukuogopesha. NMB ILIPOFIKA HAIJI KUFILISIKA
Asante.
Ingia Youtube ndugu kuna elimu za kutosha..Pia kuna mwamba anaitwa Mwalimu Emilian Busara,mtafute huko pitia elimu zake au kununua kitabu.1.Nipe list 3 wa Brokers wauhakika
2.Nimuda gani sahihi wa kununua hisa? Binafsi nina account ya DSE ila sina elimu ya kutosha ya kuanza kununua hisa. Nasubiri zishuke ninune au nifanyaje?
3.Kipi nianze kati ya kununua Hisa, Hati fungani au UTT?
Sijasema nimechukua mkopo bank. Bali nimepewa mkopo wenye riba ya 2% na taasisi ninayofanyia kazi. Ambapo ni almost free loanUliyoandika yote ni point isipokuwa tu hapo uliposema kwamba NMB haiji kufilisika.Labda ni kusaidia kufahamu kwamba NMB inaweza kufilisika.Ispofilisika kwa sababu ya Mabadiliko ya soko itafilisika kwa sababu ya uzembe(complacency),Ama la basi itafilisika kupita Natural Process.
Kwa nini nasema hivi?Ni kwa sababu Kanuni za uchumi zinaongoza uendeshaji wa Benki na kwa kawaida Law of Diminishing return ikianza kufanya kazi utaona namna Benki inavyofilisika.So cha muhimu angalia Vital Metrics ili ufahamu iwapo thamni ya hisa za NMB inaendana na Actual Assets za NMB,Angali ROI ya NMB kama inaendana na kasi ya ukuaji wa BEI ya HISa za NMB.Unaweza angalia Yield yake tua utaona ninachotaka kukwambia.
Usichanganye HYPE ya SOKO na UIMARA WA BIASHARA.
Mwisho,KUCHUKUA MKOPO WA BENKI NA KUUTUMIA KUNUNULIA HISA ni moja kati ya maamuzi ambayo sio ya Kiuwekezaji ambayo mtu anaweza kufanya.Anyway nimesema niweke neno kidogo na nikutakie kila la heri
NMB ni miongoni mwa Systematic Important Banks ( SIBs) Too Big to fail. Hivi kwa akili zako serikali na Bank kuu itaziacha NMB na CRDB zifilisike😂😂😂😂 unadhani uchumi wa Tz utakuwa kwenye hali gani kwenye hiyo scenario. Hizi banks mbili tu zina market share ya more than 60% Just imagine🤔 Kuhusu ROI hii bank imekuwa ikifanya vizuri miaka nenda rudi……. Hilo la Market price ni issue ya Demand and supply sokoni. Kifupi usipo wekeza NMB na CRDB kwenye Banks then uwekeze wapi? Hizo ni kama maji usipoyaoga utayanywa!Uliyoandika yote ni point isipokuwa tu hapo uliposema kwamba NMB haiji kufilisika.Labda ni kusaidia kufahamu kwamba NMB inaweza kufilisika.Ispofilisika kwa sababu ya Mabadiliko ya soko itafilisika kwa sababu ya uzembe(complacency),Ama la basi itafilisika kupita Natural Process.
Kwa nini nasema hivi?Ni kwa sababu Kanuni za uchumi zinaongoza uendeshaji wa Benki na kwa kawaida Law of Diminishing return ikianza kufanya kazi utaona namna Benki inavyofilisika.So cha muhimu angalia Vital Metrics ili ufahamu iwapo thamni ya hisa za NMB inaendana na Actual Assets za NMB,Angali ROI ya NMB kama inaendana na kasi ya ukuaji wa BEI ya HISa za NMB.Unaweza angalia Yield yake tua utaona ninachotaka kukwambia.
Usichanganye HYPE ya SOKO na UIMARA WA BIASHARA.
Mwisho,KUCHUKUA MKOPO WA BENKI NA KUUTUMIA KUNUNULIA HISA ni moja kati ya maamuzi ambayo sio ya Kiuwekezaji ambayo mtu anaweza kufanya.Anyway nimesema niweke neno kidogo na nikutakie kila la heri
Mkuu mbona umejitosa kwa kiasi kikubwa hiviHabari,
NMB ni mojawapo ya bank Bora Tanzania. Ni bank inayofanya vizuri sokoni...... Nilikuwa na Malengo ya kununua tokea kitambo ila bei ilikuwa un-affordable kwa pesa kidogokidogo kwa hisa moja ilifika 10,000+.
Sasa nimepewa mkopo kazini wenye riba ya 2% p.a kwa 5years ambayo ni ml 50 nikiongeza na magawio yangu kwenye hisa, nimeweza kuwa na 87ml na zote nimenunulia hisa za NMB kwa 15000 kwa hisa! Tukumbuke Nina hisa zingine huko so hapo nimeongeza uzito zaidi.
Split ya hisa itafanyika kwa ratio ya 1:10 na kufanya upatikanaji uwe rahisi na wengi kuupata fursa ya kumiliki bank kubwa zaidi Tz.
Liwalo na liwe.......... Mrejesho utakuja mwakani muda kama huu
NB; Uoga wako utakuingiza kwenye umaskini daima kwa watu kukuogopesha. NMB ILIPOFIKA HAIJI KUFILISIKA
Asante.
Asante sanaa mkuuIngia Youtube ndugu kuna elimu za kutosha..Pia kuna mwamba anaitwa Mwalimu Emilian Busara,mtafute huko pitia elimu zake au kununua kitabu.
Kwenye mitandao ya kijamii pia wamejaa Financial educators wengi.
Karibu kwenye ulimwengu wa uwekezaji ..Asante sanaa mkuu
Ulimwengu wa uwekezaji.. sijakuelewa mkuuKaribu kwenye ulimwengu wa uwekezaji ..
Ulimwengu wa uwekezaji..
Ahaa ni nzuri sana mkuu, naweza kuuliza swali!!Wekeza pesa tulia then pesa zako zikufanyie kazi
Mtaji wa kawaida inafaa uanze na pesa ngapi?Uliza
Anhaa hakuna shidaUliza
kwenye hisa unaanza na hisa 10 za kampuni kwa bei