issac77
JF-Expert Member
- Apr 26, 2013
- 5,850
- 12,742
Ni safari ndefu broUliweka shngap?
Ni safari ndefu broUliweka shngap?
Mambo ya hisa sio ya kukurupukia kk kama huna elim nayo. Ni kweli unaweza pata faida kubwa kwa muda mfupi, pia vile vile unaweza pata hasara kubwa kwa muda mfupi ukapotea uringoni. Kila mmoja awekeze anapowezaHapo sio chini ya 100M. Angekuwa amenunua hisa za NMB kwa 15,000 kwa hisa leo angeshakuwa na faida zaidi ya 30% ndani ya miezi 3 ambapo ndo faida anayoitegemea huko kwa miaka 3
Hii dunia ukipenda vitu soft soft utaishia kuwaona wenzio Freemason. Acha uoga soma game then wekeza kwa muda mrefuMambo ya hisa sio ya kukurupukia kk kama huna elim nayo. Ni kweli unaweza pata faida kubwa kwa muda mfupi, pia vile vile unaweza pata hasara kubwa kwa muda mfupi ukapotea uringoni. Kila mmoja awekeze anapoweza
Ashampopo naomba kuuliza kwani Bei ya hisa Sasa hivi nmb nishingapHii dunia ukipenda vitu soft soft utaishia kuwaona wenzio Freemason. Acha uoga soma game then wekeza kwa muda mrefu
Habari mkuu ? Naomba mawasiliano yakoHabari,
NMB ni mojawapo ya bank Bora Tanzania. Ni bank inayofanya vizuri sokoni...... Nilikuwa na Malengo ya kununua tokea kitambo ila bei ilikuwa un-affordable kwa pesa kidogokidogo kwa hisa moja ilifika 10,000+.
Sasa nimepewa mkopo kazini wenye riba ya 2% p.a kwa 5years ambayo ni ml 50 nikiongeza na magawio yangu kwenye hisa, nimeweza kuwa na 87ml na zote nimenunulia hisa za NMB kwa 15000 kwa hisa! Tukumbuke Nina hisa zingine huko so hapo nimeongeza uzito zaidi.
Split ya hisa itafanyika kwa ratio ya 1:10 na kufanya upatikanaji uwe rahisi na wengi kuupata fursa ya kumiliki bank kubwa zaidi Tz.
Liwalo na liwe.......... Mrejesho utakuja mwakani muda kama huu
NB; Uoga wako utakuingiza kwenye umaskini daima kwa watu kukuogopesha. NMB ILIPOFIKA HAIJI KUFILISIKA
Asante.
Mkuu ninachangamoto kwenye hisa namba elimu yako?Leo imeshuka kidogo. Ni 2110 kutoka 2130 ijumaa
NMB ni bank kubwa nchini so hisa zake zinapendwa na wengi na watu wanazigombania sana. Nunua kwa malengo ya muda mrefu!Tanzania ukiona jambo linakuwa promoted sana hadi kwa raia wa kawaida, basi tambua linaelekea kufa au kuporomoka.
1.Nipe list 3 wa Brokers wauhakikaNambie
1.Nipe list 3 wa Brokers wauhakika
2.Nimuda gani sahihi wa kununua hisa? Binafsi nina account ya DSE ila sina elimu ya kutosha ya kuanza kununua hisa. Nasubiri zishuke ninune au nifanyaje?
3.Kipi nianze kati ya kununua Hisa, Hati fungani au UTT?
Asante mkuuBroker wote ni wazuri. Binafsi mimi namtumia Solomon Stockbroker. Hakuna muda maalumu wa kusema uingie sokoni kwani hakuna ajue kwamba soko litapanda au kushuka zaidi ni makisio tu. Kama ni kijana na still unamalengo ya muda mrefu…..Tembea na hisa zitakufaa zaidi.