Safari ya kununua hisa za NMB inaanzia hapa. Ml 87 stake, liwalo na liwe!

Safari ya kununua hisa za NMB inaanzia hapa. Ml 87 stake, liwalo na liwe!

Hata mimi mkuu nilikuwa nawaza hivyo kuna meeting ya Nguli muwekezaji wa Tz anaitwa Mwl busara alifanya meeting na broker anaitwa vertex topic ilikuwa anazungumzia NMB share split.

Sikiliza hii meeting Mwl busara alipresent hizo data niliona data moja tu ndo inaingia kwa hiyo formular.



View: https://youtu.be/4D7P3TN6trI?si=VZH63iGhX70u993H

Emillian Busara,bosi wangu wa MDH miaka hiyo....... Jamaa ni mjuvi kweli kweli
 
Utachelewa sana. Njoo kwenye hisa huto jutia
Kwa mwezi huu mpaka Leo trh 29 nimedunduliza faida 836k hii sio ndogo kwa maisha ya ss ambapo ni faida nje ya mtaji ambao umewekezwa. Hapa target yangu kwa mwezi niwe napata 1m inaenda kutimia
 

Attachments

  • IMG_20260829_210718_508.jpg
    IMG_20260829_210718_508.jpg
    119.4 KB · Views: 13
Back
Top Bottom