Kwa mwaka huu tyr subiri mwakanihivi nikinunua hisa za nmb na crdb mwishoni mwa mwezi huu july 2026. ntapata kweli gawio au nimechelewa muda wa kununua hisa za gawio?
BoT, Pension Funds, etc Wana mikopo ambayo ni zero interest kwa Wafanyakazi wao ndiyo maana wanaishi Maisha mazuri sana
Naamin hivyoNMB inaenda kunipa utajiri ndani ya miaka 4 ijayo
Nyingi ni taasisi za fedha hasa hizi bank kubwakubwa staffs wano-room ya kuchukua mkopo kwa riba ya kiwango hichoTaasisi gani hiyo unayofanyia kazi yenye kutoa riba 2% kwa Mwaka kwa muda wa miaka 5.
Basi SawaNyingi ni taasisi za fedha hasa hizi bank kubwakubwa staffs wano-room ya kuchukua mkopo kwa riba ya kiwango hicho
Umepata mkopo wa 2%, pesa ya bure kabisa, nafikiri treasury bills za BOT ni guarantee(10-14%) kuliko shares zinazo swing kila sikuHabari,
NMB ni mojawapo ya bank Bora Tanzania. Ni bank inayofanya vizuri sokoni...... Nilikuwa na Malengo ya kununua tokea kitambo ila bei ilikuwa un-affordable kwa pesa kidogokidogo kwa hisa moja ilifika 10,000+.
Sasa nimepewa mkopo kazini wenye riba ya 2% p.a kwa 5years ambayo ni ml 50 nikiongeza na magawio yangu kwenye hisa, nimeweza kuwa na 87ml na zote nimenunulia hisa za NMB kwa 15000 kwa hisa! Tukumbuke Nina hisa zingine huko so hapo nimeongeza uzito zaidi.
Split ya hisa itafanyika kwa ratio ya 1:10 na kufanya upatikanaji uwe rahisi na wengi kuupata fursa ya kumiliki bank kubwa zaidi Tz.
Liwalo na liwe.......... Mrejesho utakuja mwakani muda kama huu
NB; Uoga wako utakuingiza kwenye umaskini daima kwa watu kukuogopesha. NMB ILIPOFIKA HAIJI KUFILISIKA
Asante.
Za kupewa ongeza na zakoHujatuambia kuwa umetueleza kwa nia ya kutuinspire, kutufunza au lah.
Bond payouts ndio unaweka DSE every 6 months, ni strategy tuu out of manyNdo ninazozipenda. Siwezi kuwekeza kwenye uwekezaji wa Bonds na fixed kwa umri wangu huu
May the odds be in your favor, good luck champSiwezi kujichelewesha