Noma sana..Sema split ije haraka sana maana kwa walionunua recently na kwa hela ndogo ongezeko hata la 100+ unaona ni dogo maana hisa unamiliki chache.Leo bei 16700
Ikianza kushuka after share split tupate updates mkuu kwa kasi ile ile...Leo bei ni 16750
Hapo vzr me nasubiri uchaguzi ukikaribia inashuka sana kutoka na political climate ya Kenya.Nimeona inashambuliwa. Ina liquidity ndogo DSE ila ni kubwa NSE...
Bei ya sasa ya DSE ni kubwa kuliko hisa hiyo hiyo ukinunua NSE....
Mimi nimeamua kuisoma kwanza hii wave ipite. Nitanunua ikifika 1400-1600
NMB ILIPOFIKA HAIJI KUFILISIK
Ishu ni masoko mawili tofauti. Athari ya NSE sio ya DSE....Hapo vzr me nasubiri uchaguzi ukikaribia inashuka sana kutoka na political climate ya Kenya.
Naomba elimu jinsi ya kununua hisa mwanzo mpaka mwisho nianze na mimiWe unafikiri tunawekeza pesa zote hizo blindly?
Sawa mkuuWe unafikiri tunawekeza pesa zote hizo blindly?
Mkuu kama huna taaluma ya kiuhasibu utafuatilia saa ngapi hayo mambo?Hivi mnaonunua hisa za haya makumpuni mnafuatilia financial statements zao kweli au ndio ninyi mnacheza na trending za bei ya vipande?
kwanini siriHizi ni siri zako
mnakuaga na shidaIkianza kushuka after share split tupate updates mkuu kwa kasi ile ile...
Shida gani?mnakuaga na shida