Safari ya kununua hisa za NMB inaanzia hapa. Ml 87 stake, liwalo na liwe!

Safari ya kununua hisa za NMB inaanzia hapa. Ml 87 stake, liwalo na liwe!

Elezea inakuaje mkuu..Maana wengine tunajua kama split ni 1:10 it means siku ikifika mamlaka za usimamizi zikaruhusu na ikawa labda NMB imefika 20K kwa wakati huo basi thamani ya hisa itabadilika na kua 20K÷10 =2K automatically na kuanza ama kupanda au kushuka kwa benchmark hiyo ya 2K.
Hata mimi mkuu nilikuwa nawaza hivyo kuna meeting ya Nguli muwekezaji wa Tz anaitwa Mwl busara alifanya meeting na broker anaitwa vertex topic ilikuwa anazungumzia NMB share split.

Sikiliza hii meeting Mwl busara alipresent hizo data niliona data moja tu ndo inaingia kwa hiyo formular.



View: https://youtu.be/4D7P3TN6trI?si=VZH63iGhX70u993H
 
1783064471257.png
 
Nimeona inashambuliwa. Ina liquidity ndogo DSE ila ni kubwa NSE...

Bei ya sasa ya DSE ni kubwa kuliko hisa hiyo hiyo ukinunua NSE....

Mimi nimeamua kuisoma kwanza hii wave ipite. Nitanunua ikifika 1400-1600
Itakuwa vizuri ili usipishane na soko husika ilipoorodheshwa
 
Back
Top Bottom