Safari ya kununua hisa za NMB inaanzia hapa. Ml 87 stake, liwalo na liwe!

Safari ya kununua hisa za NMB inaanzia hapa. Ml 87 stake, liwalo na liwe!

Acha uongo man Umeingia kwenye Website ya DSE mda huu ukaona Closing Price?
Uongo upi kaka? Yani nijidanganye hata mimi mwenyewe? Mimi nilinunua kwa 16500.... waligawanya kwa 10 bei yake ina maana now ni 1650 sio 16500. Na bei ya 2040 maana yake ni 20,400/=
 
Hisa za NMB zimeshuka mpaka tsh 2040/= kwa hisa moja
Hongera ndugu mwekezaj kwa kupata hasara
Kutoka kununua hisa yenye thamani ya afu 15 mwezi july,octoba hii imeshuka hadi 2040, hasara ya tsh 12960/= kwa kila hisa
Not that easy mzee wangu. Kuna AI siku hizi unaweza kuiuliza tukapata majibu sahihi. Hisa zimekuwa splinted ....
 
Uongo upi kaka? Yani nijidanganye hata mimi mwenyewe? Mimi nilinunua kwa 16500.... waligawanya kwa 10 bei yake ina maana now ni 1650 sio 16500. Na bei ya 2040 maana yake ni 20,400/=
Kutoka Share 500m baada ya ku spit kama ulikua na Share 1000 zitakua 10,000 so hizi 1000*18000=18,000,000 10,000*2000=20,000,000 nimeelewa sasa
 
Kutoka Share 500m baada ya ku spit kama ulikua na Share 1000 zitakua 10,000 so hizi 1000*18000=18,000,000 10,000*2000=20,000,000 nimeelewa sasa
Yes mkuu walisplit bei na kuzidisha hisa.

Kama bei ilikua 16,500 kwa share 1 then ikaja kuwa 1,650 kwa share 10....

So ile unaona 2,040 kwa bei ya zamani ni 20,400.....
 
Wadau mnaokota hisa au ndo mnauza😂😂😂😂 Ngoja niziokote mdogomdogo niendelee kuongeza gawio langu hapo mwakani mwezi wa sita
 
NB; usiingie kwenye hisa bila kujua huu uwekezaji….Utajiri wa kwenye hisa upo kwenye Muda!
Yes, yaani sasa hivi ukiweka 10m fikiria mwaka 2036 huko zinaweza kuwa traded kwa 50k per share kwa sasa hizo hisa 5000*50000=250,000,000 ya wakati huo au hata high ya mda wote 5000*18000=90,000,000 ya wakati huo kwa sasa ni kuwa gread target kumiliki hisa 10000-20000 baada ya miaka 10 ni zaidi ya kinua mgongo cha mtu + Dividend
 
Watu wataona kama mzaha ila wakija kuupitia huu uzi miaka hiyo wataona kama ni miujiza!
 
Maneno yawe machache, kuwekeza kuwe kwingi.😂😂😂
Watu wanajiropokea tu eti hisa za NMB zimeshuka! Zinaweza shuka, lakini sio asilimia 90% hilo ni anguko. By the way Mimi sijawekeza kwenye hisa bado
 
Back
Top Bottom