Unajua anazungumzia Vita ni kama kwenda sokoni kununua bidhaa na kurudi nyumbani ukiwa vitani uwaache wenzio ukimbie wanakuangalia tuu huku wao wakipigana airline kwa nini wanaotekwa wengi wanakua ni makundi makundi na sio mmoja mmoja uwanja wa vita ukionyesha dalili hizo wanakula kichwa..