Safari ya kuusafirisha mwili wa Mtanzania Nemes Tarimo kutoka Urusi hadi Tanzania inaanza 24 Januari, 2023

Safari ya kuusafirisha mwili wa Mtanzania Nemes Tarimo kutoka Urusi hadi Tanzania inaanza 24 Januari, 2023

Mwamba alikuwa mtafutaji mzuri ila basi tu!?Unaambiwa mafanikio ni "kuthubutu" ila sio kuthubutu kwa kutesa wengine.
 
mambo siyo rahisi namna hiyo mkuu.
Unajua anazungumzia Vita ni kama kwenda sokoni kununua bidhaa na kurudi nyumbani ukiwa vitani uwaache wenzio ukimbie wanakuangalia tuu huku wao wakipigana airline kwa nini wanaotekwa wengi wanakua ni makundi makundi na sio mmoja mmoja uwanja wa vita ukionyesha dalili hizo wanakula kichwa..
 
Back
Top Bottom