kibobori mahoro
JF-Expert Member
- Dec 12, 2022
- 7,452
- 10,785
Mwamba alikuwa mtafutaji mzuri ila basi tu!?Unaambiwa mafanikio ni "kuthubutu" ila sio kuthubutu kwa kutesa wengine.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Una utapiamlo mkali wa akiliCHADEMA mna makamanda wengi
Mkuu ama ulitaka niseme wana mabinti wengi!!??Una utapiamlo mkali wa akili
Passport hela yako tuNdio mana passport hazitolewi ovyo, nimetambua
Unajua anazungumzia Vita ni kama kwenda sokoni kununua bidhaa na kurudi nyumbani ukiwa vitani uwaache wenzio ukimbie wanakuangalia tuu huku wao wakipigana airline kwa nini wanaotekwa wengi wanakua ni makundi makundi na sio mmoja mmoja uwanja wa vita ukionyesha dalili hizo wanakula kichwa..mambo siyo rahisi namna hiyo mkuu.