Safari ya kuusafirisha mwili wa Mtanzania Nemes Tarimo kutoka Urusi hadi Tanzania inaanza 24 Januari, 2023

Safari ya kuusafirisha mwili wa Mtanzania Nemes Tarimo kutoka Urusi hadi Tanzania inaanza 24 Januari, 2023

Nipatie mafunzo uone...
Me ntajilipua tu in any way.
Ni wewe tu ukiwa tayari Wagner Group wanakupa mafunzo na unaingia ukiwa na morali ya kutosha hapo front line
 
Na kuna zile habari kwamba Nemes alikuwa amehukumiwa maisha na serikali ya urusi kwa kosa la drug.so alipewa option kwamba,aendelee kutumikia kifungo cha maisha au ende vitani.Kwamba akipigana vita ndani ya miezi 6 atakuwa huru.
 
Serikali ya Urusi inalipa fidia inayokadiriwa dola 30000 hiyo ni mkono wa pole nje ya gharama zote za kusafirisha mwili na kuna mwakilishi atakuja na mwili
Ujue serikali ikiruhusu kuna watu wataenda pigana kweli
 
Back
Top Bottom