Superb2014
JF-Expert Member
- Jul 29, 2017
- 9,266
- 7,426
Apumzike kwa Amani.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni wewe tu ukiwa tayari Wagner Group wanakupa mafunzo na unaingia ukiwa na morali ya kutosha hapo front lineNipatie mafunzo uone...
Me ntajilipua tu in any way.
Huyo katolewa jela kapelekwa vitaniKwa akili yako unadhani miaka saba urusi alikua bado anasoma tu?
Ujue serikali ikiruhusu kuna watu wataenda pigana kweliSerikali ya Urusi inalipa fidia inayokadiriwa dola 30000 hiyo ni mkono wa pole nje ya gharama zote za kusafirisha mwili na kuna mwakilishi atakuja na mwili
Unajuaje hakupata mafunzoWanaenda vitani bila mafunzo na wanapelekwa front line wawe chambo...
kwa hiyo wanajeshi wote wachagaWachaga ktk kutafuta pesà akaamua ajitusue vitani daahhh...
Rip mwambaa
wewe umejuaje alipata mafunzo?mimi nimejua maana angekuwa amepata mafunzo ndugu zake wangesinge sema kwamba hawajui kuwa ndugu yao ni mwanajeshiUnajuaje hakupata mafunzo
What a fallacy. Kwa hiyo kwa kuwa hawakujua kwamba ni mwanajeshi, hakuwa mwanajeshi.wewe umejuaje alipata mafunzo?mimi nimejua maana angekuwa amepata mafunzo ndugu zake wangesinge sema kwamba hawajui kuwa ndugu yao ni mwanajeshi
Waache wao waendelee kukatika mauno bongo fleva na uchawa tuHuyo ni mpambanaji na historia imeandikwa, hapa wanaoponda wengi wetu tunapata viazi nyumbani kwetu
Kama ana mtoto atarithi pesa wanazotoa serikali ya urusi kwa mjeda anaefia vitani, wazazi wake wote ni marehemu
Hawa mashemeji zangu kwenye kutafuta pesa nawaheshimu sana,