Wazazi wake wote ni marehemuUsf 30000 si haba kawapa kitu wazazi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wazazi wake wote ni marehemuUsf 30000 si haba kawapa kitu wazazi
Hivi ilikuwa haiwezekani akiwa vitani akimbilie ukrain.?Na kuna zile habari kwamba Nemes alikuwa amehukumiwa maisha na serikali ya urusi kwa kosa la drug.so alipewa option kwamba,aendelee kutumikia kifungo cha maisha au ende vitani.Kwamba akipigana vita ndani ya miezi 6 atakuwa huru.
We jamaa mbna unadanganya watu, huyo alipewa mafunzo ya sku mbili tuu kisha akatupwa front , urusi na Ukraine ngozi nyeusi kama hueleweki elewek na kama nchi yako haina uwezo wa ku-question unavurutwa frontline ukafie huko...Alikuwa well trained na kupitia mafunzo ya vyuo mbalimbali vya kijeshi hata south africa so usimchukulie poa
Usf 30000 si haba kawapa kitu wazazi
Alisavaivu miezi 6 ilibaki mwezi awe huru kumbaka alikua jela na aliachiwa kwa mtimdo WA plea bargainmzee hakuna cha treiningi wala nn hao walikua wanawekwa frontline afu mafunzo yenyew n ya week1 una tegemea nn ume sahau ya mobilization ambapo mpaka walev wa kirus walikua wana pewa mafunzo kwa week 1 kisha wana pelekwa frontline
A drug dealer and killer of innocent civilians. Hakulazimishwa kuwa mamluki. He made a conscious decision to kill and destroy for Russia.Taarifa za uhakika kutoka ndani ya Familia ya Mtanzania Nemes Raymond Tarimo (34) ambaye alifariki wakati akipigana upande wa Jeshi binafsi la Urusi la Wagner Group dhidi ya Ukraine, zinaeleza kuwa safari ya kuurejesha mwili wake Nchini Tanzania inatarajiwa kuanza kesho Jumanne Januari 24, 2023.
Muda wa kuwasili Tanzania bado haujawekwa wazi lakini taratibu za kuupokea zimeshafanyika ambapo ndugu, jamaa na marafiki wanasubiri ratiba kamili juu ya muda wa kuwasili kutoka Urusi.
Pia soma: Tarimo Nemes, anayedaiwa alifariki akiwa vitani Ukraine, aligombea Ubunge
Mtanzania Tarimo Nemes Raymond, afariki akiwapigania Wagner wa Urusi, kule Ukraine
Sasa hapa huelewi nini?alikuwa trained wapi wakati hata ndugu zake wanasema walikuwa hawajui kama ndugu yao ni mwanajeshi?
Mjomba utakauka sautiWhat a fallacy. Kwa hiyo kwa kuwa hawakujua kwamba ni mwanajeshi, hakuwa mwanajeshi.
mzee hakuna cha treiningi wala nn hao walikua wanawekwa frontline afu mafunzo yenyew n ya week1 una tegemea nn ume sahau ya mobilization ambapo mpaka walev wa kirus walikua wana pewa mafunzo kwa week 1 kisha wana pelekwa frontline
Kama ana mtoto atarithi pesa wanazotoa serikali ya urusi kwa mjeda anaefia vitani, wazazi wake wote ni marehemu
Maana yake nini?.M.A.P
[emoji23][emoji23]alikuwa trained wapi wakati hata ndugu zake wanasema walikuwa hawajui kama ndugu yao ni mwanajeshi?
Kusoma kuelewakwa hiyo wanajeshi wote wachaga
Nipatie mafunzo uone...
Me ntajilipua tu in any way.
Jela pasikie TU,Wanaenda vitani bila mafunzo na wanapelekwa front line wawe chambo...
Huenda mwamba alichukizwa na sera za mabeberu wa Marekani na ulaya,akaamua liwalo na liiweee,,,🤔Wachaga ktk kutafuta pesà akaamua ajitusue vitani daahhh...
Rip mwambaa
Tengua kauli yako,Jamaa alikuwa mfungwa akalazimishwa kwenda vitani miezi sita ili hukumu ifutwe