Safari ya kuusafirisha mwili wa Mtanzania Nemes Tarimo kutoka Urusi hadi Tanzania inaanza 24 Januari, 2023

Safari ya kuusafirisha mwili wa Mtanzania Nemes Tarimo kutoka Urusi hadi Tanzania inaanza 24 Januari, 2023

Na kuna zile habari kwamba Nemes alikuwa amehukumiwa maisha na serikali ya urusi kwa kosa la drug.so alipewa option kwamba,aendelee kutumikia kifungo cha maisha au ende vitani.Kwamba akipigana vita ndani ya miezi 6 atakuwa huru.
Hivi ilikuwa haiwezekani akiwa vitani akimbilie ukrain.?

Sent from my SM-M115F using JamiiForums mobile app
 
Alikuwa well trained na kupitia mafunzo ya vyuo mbalimbali vya kijeshi hata south africa so usimchukulie poa
We jamaa mbna unadanganya watu, huyo alipewa mafunzo ya sku mbili tuu kisha akatupwa front , urusi na Ukraine ngozi nyeusi kama hueleweki elewek na kama nchi yako haina uwezo wa ku-question unavurutwa frontline ukafie huko...
 
Huyu alikuwa mhalifu msitake kumfanya shujaa. Alikamatwa Miscow baada ya kukutwa na madawa ya kulevya N-Methyephredone gramu 5.2. Uhalifu wake mwingine ni uamuzi wake wa kukubali kuwa mamluki wa Urusi, jambo ambalo ni kinyume na uraia wake kama Mtanzania. Ni sawa na Mtanzania kupoteza maisha akiiipigania Al Qaeda kule Msumbiji.
 
mzee hakuna cha treiningi wala nn hao walikua wanawekwa frontline afu mafunzo yenyew n ya week1 una tegemea nn ume sahau ya mobilization ambapo mpaka walev wa kirus walikua wana pewa mafunzo kwa week 1 kisha wana pelekwa frontline
Alisavaivu miezi 6 ilibaki mwezi awe huru kumbaka alikua jela na aliachiwa kwa mtimdo WA plea bargain
 
Taarifa za uhakika kutoka ndani ya Familia ya Mtanzania Nemes Raymond Tarimo (34) ambaye alifariki wakati akipigana upande wa Jeshi binafsi la Urusi la Wagner Group dhidi ya Ukraine, zinaeleza kuwa safari ya kuurejesha mwili wake Nchini Tanzania inatarajiwa kuanza kesho Jumanne Januari 24, 2023.

Muda wa kuwasili Tanzania bado haujawekwa wazi lakini taratibu za kuupokea zimeshafanyika ambapo ndugu, jamaa na marafiki wanasubiri ratiba kamili juu ya muda wa kuwasili kutoka Urusi.


Pia soma: Tarimo Nemes, anayedaiwa alifariki akiwa vitani Ukraine, aligombea Ubunge

Mtanzania Tarimo Nemes Raymond, afariki akiwapigania Wagner wa Urusi, kule Ukraine
A drug dealer and killer of innocent civilians. Hakulazimishwa kuwa mamluki. He made a conscious decision to kill and destroy for Russia.
 
Inasikitisha sana
mzee hakuna cha treiningi wala nn hao walikua wanawekwa frontline afu mafunzo yenyew n ya week1 una tegemea nn ume sahau ya mobilization ambapo mpaka walev wa kirus walikua wana pewa mafunzo kwa week 1 kisha wana pelekwa frontline
 
Hizo ni porojo tu, hakuna pesa yoyote ya maana inayotolewa.
Kama ana mtoto atarithi pesa wanazotoa serikali ya urusi kwa mjeda anaefia vitani, wazazi wake wote ni marehemu
 
Sio sawa kumzumgumzia marehemu ila wengi wa hao Frontline walikua waliofungwa Urusi katumia Wamalawi,Watanzania na Wazambia waliohukumiwa kule na Zambia washarudishiwa yule kijana alieuawa huko alikua na kesi ya kudukua...maisha yana mambo mengi sana kwa Watafutaji RIP mwamba...
 
Back
Top Bottom