Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu kijana si nafikiri km nlivuosoma mahali alikutwa na kesi ya ngada, ilipokuja suala la vita wakamwambia ajoin jeshi Lao watamsaidia kupunguza kifungo chake gerezaniHizo ni akili zako za kufikirika lakini uhalisia ni kwamba huwa wanapelekwa front line bila mafunzo yeyote mfano mzuri na wale mobilizations
DeepPondTengua kauli yako,
Hamna anaelazimishwa,
Ukijiskia unahitaji kua huru nenda vitani
Sent using Jamii Forums mobile app
Labda pengine alijaribu kufanya haivyo ndiyo warusi wakala kichwaHivi ilikuwa haiwezekani akiwa vitani akimbilie ukrain.?
Sent from my SM-M115F using JamiiForums mobile app
Tarimo Wapi na Wapi na tukuyu wewMwili wako sahv uko transit, uturuki
Safari yake ya kuja bongo....
Ukifika utaenda kuzikwa tukuyu,mbeya
Ova
Rest in peaceTaarifa za uhakika kutoka ndani ya Familia ya Mtanzania Nemes Raymond Tarimo (34) ambaye alifariki wakati akipigana upande wa Jeshi binafsi la Urusi la Wagner Group dhidi ya Ukraine, zinaeleza kuwa safari ya kuurejesha mwili wake Nchini Tanzania inatarajiwa kuanza kesho Jumanne Januari 24, 2023.
Muda wa kuwasili Tanzania bado haujawekwa wazi lakini taratibu za kuupokea zimeshafanyika ambapo ndugu, jamaa na marafiki wanasubiri ratiba kamili juu ya muda wa kuwasili kutoka Urusi.
Pia soma: Tarimo Nemes, anayedaiwa alifariki akiwa vitani Ukraine, aligombea Ubunge
Mtanzania Tarimo Nemes Raymond, afariki akiwapigania Wagner wa Urusi, kule Ukraine
Acha kudanganya wewe hakuwa na mafunzo yoyote labda aliyopewa na Wagner!!Alikuwa well trained na kupitia mafunzo ya vyuo mbalimbali vya kijeshi hata south africa so usimchukulie poa
Alikuwa gerezani kwa tuhuma za madawa ya kelevya!!Kwa akili yako unadhani miaka saba urusi alikua bado anasoma tu?
Alikuwa anamsaidia mwenzake ndo wakapigwa bomuWanaenda vitani bila mafunzo na wanapelekwa front line wawe chambo...
Kumbe kusaidiana na mwenzako vitani unapigwa!!?Alikuwa anamsaidia mwenzake ndo wakapigwa bomu
Kama unataka wakuchukue ukawe Chambo wewe nenda urusi kafanye kosa wakufunge gerezani hapo sasa utawaona Wagner wanakuja kuchukua mzigo wao!!Kuna wengine tupo huku mboni hawatuoni au mpaka tuwafuate uko uko kwenda kuwapigania si waje watuchukue huku tunaotaka kufa twende tukafe uko, Wagner mje mtuchukue na huku
Waweke tawi na huku basi km ni hivyo maana huku si ubalozi wao au?!Kama unataka wakuchukue ukawe Chambo wewe nenda urusi kafanye kosa wakufunge gerezani hapo sasa utawaona Wagner wanakuja kuchukua mzigo wao!!
Hakuna cha kutengua ukweli ndio huo!! Vitani huwezi kwenda tu kwa sababu umejisikia.Tengua kauli yako,
Hamna anaelazimishwa,
Ukijiskia unahitaji kua huru nenda vitani
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna cha kutengua ukweli ndio huo!! Vitani huwezi kwenda tu kwa sababu umejisikia.
Mpambanaji aliyeipigania nchi nyingine iliyomfunga!! Bora hata angeifia nchi yake Tanzania!!Huyo ni mpambanaji na historia imeandikwa, hapa wanaoponda wengi wetu tunapata viazi nyumbani kwetu
Kiukweli amekufa kizembe kabisa huna mafunzo unapelekwa kupigana na wanaume hayo ndiyo matokeo yake!!Jamaa ana spirit kama ya wa West Africa. Alijua akifanikiwa akitoboa ndo basi mpunga wake angeish vizuri siku zake zilizobaki duniani sema ndo hvyo imekuwa bahati mbya. Alikufa kijeshi Na ndo maana wamemuaga kijeshi.
Hajafa kizembe....
Watanzania waoga sana.
Labda shujaa wa michongo!!Huyo ni shujaa