Walau ungepanda zile Marco polo G7 za katarama....zipo more comfortable sanaNdo ivo hatuna option aisee
Dar-Bukoba ni safari ndefu mno Kwa bus haifai.
Bus inatakiwa uishie Dodoma
Safari masaa 48 Kwa bus ni mengi mno
Shida sirikali yetu inaona mtu kupanda ndege n Ufahali. Wakat kwa nchi nyinyne n jambo la kawaida sana. Wanatakiwa wapunguze code (VAT) kwenye naul za ndege. Hili wote wakaz wa mikoa ya mbali tupande ndege.Ndo ivo hatuna option aisee
Dar-Bukoba ni safari ndefu mno Kwa bus haifai.
Bus inatakiwa uishie Dodoma
Safari masaa 48 Kwa bus ni mengi mno
Siyo mbaya Issa kawaletea Happy Nation mpya mpya huko, safari ya Bus kama una afya nzuri wala hauna haraka binafsi ndo safari nazopenda ilimrad tu upate gari nzurini
Tatizo la hawa jamaa wapo rough sana njiani , kulishwa vioo ni dakika .Jamaa ingawa kuna vts ila chuma inalazwa mshale hadi 140kph
Kwani serikali inachukua kodi kiasi gani kwa domestic flights?Shida sirikali yetu inaona mtu kupanda ndege n Ufahali. Wakat kwa nchi nyinyne n jambo la kawaida sana. Wanatakiwa wapunguze code (VAT) kwenye naul za ndege. Hili wote wakaz wa mikoa ya mbali tupande ndege.
Songea kwanzaSerikali ituletee hiyo SGR watu wa Kanda ya ziwa
Kwangu mimi naona Safari ya kawaida, na mabasi ya route hiyo yana hali nzuriKila mtu anavutia kwakeπ
Ndani ya Tanzania hamna mkoa unaenda kwa masaa 48 mkuu labda kwa gari MoshiNdo ivo hatuna option aisee
Dar-Bukoba ni safari ndefu mno Kwa bus haifai.
Bus inatakiwa uishie Dodoma
Safari masaa 48 Kwa bus ni mengi mno
Umasiki mbaya aisee
Natoka Mwanza naenda Dar hapa ni saa 5 kasoro ndo natoka Shinyanga nimeanza safari saa 1 jioni na hapa nimechoka sana na tunafika Dar kesho saa 7 mchana aisee sijui nitakuwa na hali Gani
Mungu nijalie wakati wa kurudi nipande Air TANZANIA
Vitu ambavyo napendaga mimi hivyo mkuu, familia nzima wananijua na sio familia tu kwanza ni ukoo mzima wananijua kwamba linapokuja swala la safari hata nikiwa mahututi huwa nahisi kupona ghafla na hata ukiniamsha usiku wa manane sitakua na swali lakuuliza zaidi ya kupack begi langu tuwahi kabla haujagairi πππ.Umasiki mbaya aisee
Natoka Mwanza naenda Dar hapa ni saa 5 kasoro ndo natoka Shinyanga nimeanza safari saa 1 jioni na hapa nimechoka sana na tunafika Dar kesho saa 7 mchana aisee sijui nitakuwa na hali Gani
Mungu nijalie wakati wa kurudi nipande Air TANZANIA
Tuliza wenge mzee mbn Ndio Maisha yetu siku zote kigoma to dar ππUmasiki mbaya aisee,
Natoka Mwanza naenda Dar hapa ni saa 5 kasoro ndiyo natoka Shinyanga nimeanza safari saa 1 jioni na hapa nimechoka sana na tunafika Dar kesho saa 7 mchana aisee sijui nitakuwa na hali gani
Mungu nijalie wakati wa kurudi nipande Air Tanzania