Safari ya Rais Biden na Jinsi CIA walivyoandaa safari ya kijasusi Nchi Ukraine

TumainiEl

JF-Expert Member
Joined
Jan 13, 2010
Posts
6,782
Reaction score
12,716
Mwezi wa pili wa mwaka 2023 ni mwezi ambao utaingia kwenye historia za Dunia ambapo idara nyeti ya usalama wa Taifa ikisaidiana na Pentagon walifanikisha safari nyeti ya Rais wa Taifa la Marekani na kuthibitishia ulimwengu kuwa wao sio wa viwango vya China au Urusi ila wao ni WA viwango vya juu zaidi ambapo itawachukua miaka mingi wao kuwafikia.

Safari ya Rais Biden ni moja ya safari ya kijasusi ktk eneo la vita ambayo haikuwahi tokea kwa miongo kadhaa na inasemekana Biden ni Rais wa pili au wa tatu kwenda kwenye nchi ambayo ipo vitani ktk history za Taifa hili.

Safari hii ilivyo fanyiwa tathimini ya kina madhara yangeweza tokea na gharama zake. Safari hii nyuma ya pazia ilikuwa nisafari ya majaribio kwa Taifa la Marekani kwenye mitambo yao ya kunasa mawasiliano, mifumo yake yakuzuwia ICBM, mifumo ya ndege zake na cyber security.

Safari iliandaliwa kwa ustadi mkubwa sana na hapakuwa na lick ya taarifa japo wachache tulisha toa angalizo pasipo juwa tulikuwa tukimukika moja ya mission ya siri ndani ya Taifa tajiri duniani na lenye nguvu za kijeshi. Marais wawili wamesha iyonya Dunia katika kipindi cha utawala wao kuwa nguvu yakijeshi ya Taifa Hilo ni nguvu ambayo Dunia haikupata kuiona na kwa mtu anataka kujuwa nguvu yao basi awaguse ngede zao.

Safari ya Rais wa Marekani nchini Ukraine ililiacha Taifa la Urusi ktk kiza kinene kwenye ujasusi wao Mnao usema.

Kwanza hawakuwa wana juwa Biden atajaribu kwenda Ukraine ila kwa ubabe wa Marekani waliitambulisha Urusi kuwa Rais wao angeenda Ukraine na wangependa wampe assurance ya ulinzi means wasije dungua TREN au ndege yake.

Ila kwa kutokujuwa Urusi wakasema sisi hatuwezi kuwa assurance ya usalama wake Ukraine kitakacho mpata msitulaumu.

Jambo lifanya CIA kuwaonyesha kuwa wao sio wa viwango vya kawaida je wajuwa nn walifanya?

Ili Mrusi kum provoke USA na hasira kupewa short notice ya Ziara ya Rais Biden nchin Ukraine. Rais Putin Ali order test ya ICBM siku Biden stakuwa Ukraine ila sasa kitu CIA na Pentagon walimfanyia Mrusi hawezi sahau. Una ambiwa siku Rais Biden akiwa Ukraine kwa muda wote Mrusi hakuweza fanikisha kufanya test je ni kwanini? Una ambiwa system yote ya ICBM ili stack pamoja nakuwa na wataalam ngoma haikuweza kurespond jambo lilimkasirisha sana Putin nankutangaza kujitoa kwenye system mambo ya silaha za kinyukilia. Huu ni mfumo wakuonya nn mwenzako anafanya kwenye nyuklia zake ili usije ukapotea bila juwa.

Jambo ambalo wengi hatujuwi nikuwa kwa kipindi chote Mzee baba alikuwa Ukraine Mrusi hakuweza hata fanya kaz kila kitu kilichanganyikiwa mpaka USA walipo waachilia kwenye mifumo. Jambo hili limewatisha sana Warusi na sasa wanaona USA sio Taifa la kawaida kwenye maswala ya usalama.

Ikumbukwe Putin kwa sasa hata ndege zake anaziogopa kwa kitisho cha kuangushwa ndege zake. Yani Putin kwa sasa anatumia traine sio ndege
 
MLeta mada walau ungekuwa na elimu ndogo sana ya kijeshi na vifaa vya kijeshi na vinavyofanya kazi usingeleta mada hii.

Pili ungekuwa unachosema ni sahihi Crimea ingesharudi Ukraine na si ajabu millitary bases za NATO zingekuwa zipo tayari Urusi.

Tatu sijui hata kana unafahamu sababu ya vita hii kubwa na tishio kwa USA kuliko kwa Ukraine. Angekuwa na silaha ya aina hiyo angashamailiza vita.

Mwisho, Urusi kwenye tecnolojia za kivita sio kama DR Congo wako ahead of US in some cases tena mbali sana. When it come to combat readiness amd experinces, wanawazidi hata NATO armed forces combined. Utapenda nikupe link(neutral) ujifunze zaidi badala ya kuwa praise team
 
MLeta mada walau ungekuwa na elimu ndogo sana ya kijeshi na vifaa vya kijeshi na vinavyofanya kazi usingeleta mada hii...
Maneno ya kwenye karatasi haya:

Huyo putin hata kutoka nje ya urusi anaogopa wanaume wameenda pale pale jirani kwake na wameondoka salama.

Urusi ni mwepesi mno, kujitoa vitani anaona aibu, kuendelea amezidiwa kabisa. Jana miji minne ya urusi imeshambuliwa kwa drones zisizo na rubani. Warusi wanashangaa inakuwaje.

Hii vita inaweza kuwa ndio anguko la urusi mazima, awe makini.
 
Mimi si mtaalamu wa mambo ya kivita ila sidhani kama kulikua na usili mzito kwa ziara ya Biden Ukraine. Kama Rais wa Ukraine anavyotoka na kurudi Ukraine bila shida yoyote ndivyo alivyokuja na kuondoka biden. Boris johnson aliwahi kwenda. Pia GS wa UN alikwenda Ukraine na kuondoka vizuri.
Iweje kwa Biden ionekane kama CIA walitumia akili kubwa kuushangaza Ulimwengu?
 
Jambo ambalo wengi hatujuwi nikuwa kwa kipindi chote Mzee baba alikuwa Ukraine Mrusi hakuweza hata fanya kaz kila kitu kilichanganyikiwa mpaka USA walipo waachilia kwenye mifumo. Jambo hili limewatisha sana Warusi na sasa wanaona USA sio Taifa la kawaida kwenye maswala ya usalama.

Huu ni uzushi mkubwa.
 
Unasifia sana hadi Uzi wenyewe umeuharibu ilitakiwa uelezee tu hiyo mission ilikuaje mwanzo Hadi mwisho

Laki we we Kila sehemu unaambiwa unaambiwa Kwani nyinyi US amekupeni Nini au Kwa sababu anatetea ushoga
 
Wamalize vita kama hao us ni wababe kweli, waache ngonjera
Mwezi wa pili wa mwaka 2023 ni mwezi ambao utaingia kwenye historia za Dunia ambapo idara nyeti ya usalama wa Taifa ikisaidiana na Pentagon walifanikisha safari nyeti ya Rais wa Taifa la Marekani na kuthibitishia ulimwengu kuwa wao sio wa viwango vya China au Urusi ila wao ni WA viwango vya juu zaidi ambapo itawachukua miaka mingi wao kuwafikia.

Safari ya Rais Biden ni moja ya safari ya kijasusi ktk eneo la vita ambayo haikuwahi tokea kwa miongo kadhaa na inasemekana Biden ni Rais wa pili au wa tatu kwenda kwenye nchi ambayo ipo vitani ktk history za Taifa hili.

Safari hii ilivyo fanyiwa tathimini ya kina madhara yangeweza tokea na gharama zake. Safari hii nyuma ya pazia ilikuwa nisafari ya majaribio kwa Taifa la Marekani kwenye mitambo yao ya kunasa mawasiliano, mifumo yake yakuzuwia ICBM, mifumo ya ndege zake na cyber security.

Safari iliandaliwa kwa ustadi mkubwa sana na hapakuwa na lick ya taarifa japo wachache tulisha toa angalizo pasipo juwa tulikuwa tukimukika moja ya mission ya siri ndani ya Taifa tajiri duniani na lenye nguvu za kijeshi. Marais wawili wamesha iyonya Dunia katika kipindi cha utawala wao kuwa nguvu yakijeshi ya Taifa Hilo ni nguvu ambayo Dunia haikupata kuiona na kwa mtu anataka kujuwa nguvu yao basi awaguse ngede zao.

Safari ya Rais wa Marekani nchini Ukraine ililiacha Taifa la Urusi ktk kiza kinene kwenye ujasusi wao Mnao usema.

Kwanza hawakuwa wana juwa Biden atajaribu kwenda Ukraine ila kwa ubabe wa Marekani waliitambulisha Urusi kuwa Rais wao angeenda Ukraine na wangependa wampe assurance ya ulinzi means wasije dungua TREN au ndege yake.

Ila kwa kutokujuwa Urusi wakasema sisi hatuwezi kuwa assurance ya usalama wake Ukraine kitakacho mpata msitulaumu.

Jambo lifanya CIA kuwaonyesha kuwa wao sio wa viwango vya kawaida je wajuwa nn walifanya?

Ili Mrusi kum provoke USA na hasira kupewa short notice ya Ziara ya Rais Biden nchin Ukraine. Rais Putin Ali order test ya ICBM siku Biden stakuwa Ukraine ila sasa kitu CIA na Pentagon walimfanyia Mrusi hawezi sahau. Una ambiwa siku Rais Biden akiwa Ukraine kwa muda wote Mrusi hakuweza fanikisha kufanya test je ni kwanini? Una ambiwa system yote ya ICBM ili stack pamoja nakuwa na wataalam ngoma haikuweza kurespond jambo lilimkasirisha sana Putin nankutangaza kujitoa kwenye system mambo ya silaha za kinyukilia. Huu ni mfumo wakuonya nn mwenzako anafanya kwenye nyuklia zake ili usije ukapotea bila juwa.

Jambo ambalo wengi hatujuwi nikuwa kwa kipindi chote Mzee baba alikuwa Ukraine Mrusi hakuweza hata fanya kaz kila kitu kilichanganyikiwa mpaka USA walipo waachilia kwenye mifumo. Jambo hili limewatisha sana Warusi na sasa wanaona USA sio Taifa la kawaida kwenye maswala ya usalama.

Ikumbukwe Putin kwa sasa hata ndege zake anaziogopa kwa kitisho cha kuangushwa ndege zake. Yani Putin kwa sasa anatumia traine sio ndege
Hizi ni story kama za Deogratius Nalimi Kisandu kawasimulie walevi wa Misungwi mina Sembelu Mageta na Misoji Masenya, Ng'hoba na nduguze
 
Leo umebugi Mkuu... Nadhani niendelee kuamini machapisho yako yahapahapa Bongo.

Hamna missile test ilofanywa na Mrusi siku ya ujio wa Biden.

NATO wangekua na Uwezo huo , makombora ya Urusi kuipiga Ukraine wangekua wanafanya yasirushwe.

Watu mnadhan Biden na CIA walifanya opereshen kubwa kumfikisha Biden..

Ukweli ni kwamba CIA waliwataarifu wenzao wa FSB .

Mrusi ana majasusi wakutosha Ukraine hata kabla ya vita kuanza.... Ndio Maana Huwa wanasema, tutapiga maeneo yenu nyeti mnayofanyia vikao vyenu , tunayajua !!.

NEW START , ni mkataba baina wa Urusi na Marekan ,kuhusu silaha za nyukilia, idadi ya Vichwa vya nyukilia ambavyo Kila Nchi inatakiwa kua Nayo.

Mrusi kastuka, huwez kua na mkataba wa Nchi mbili tu, wakati US yupo ndan ya NATO, na NATO wengine kama mfaransa, Muingereza, Wana nyukilia !!....

Sasa kaamua KUACHANA nao , ili NATO ijirudi yenyewe na wakija itabidi Mrusi aweke mashariti mapya ili kubalance.

Kumbuken, Mrusi ndio Nchi pekee aliyefanikiwa kumiliki silaha za Hypersonic na alizozijaribisha kwenye vita Halisi.

Maiichukulie poa .. vita ya Ukraine, hata iweje, hata NATO wapeleke silaha gan, Hatima yake ni Moja tu MRUSI KUSHINDA NA MASHARITI YAKE KUFATWA .
 
MLeta mada walau ungekuwa na elimu ndogo sana ya kijeshi na vifaa vya kijeshi na vinavyofanya kazi usingeleta mada hii.

Pili ungekuwa unachosema ni sahihi Crimea ingesharudi Ukraine na si ajabu millitary bases za NATO zingekuwa zipo tayari Urusi.

Tatu sijui hata kana unafahamu sababu ya vita hii kubwa na tishio kwa USA kuliko kwa Ukraine. Angekuwa na silaha ya aina hiyo angashamailiza vita.

Mwisho, Urusi kwenye tecnolojia za kivita sio kama DR Congo wako ahead of US in some cases tena mbali sana. When it come to combat readiness amd experinces, wanawazidi hata NATO armed forces combined. Utapenda nikupe link(neutral) ujifunze zaidi badala ya kuwa praise team
Hata wewe mkuu inaonekana una upande kwa maandiko haya..
 
Sasa kama unafikri ji rahis tu kutunguliana ndege na tren bas yule lavrov si angetunguliwa sana.hio safar hujamskia yule maria zakharova juz kasema walikua na taarifa ya safar ambayo ilitolewa na hao hao wamerakan kwamba tunaomba assurance ya ulinzi.siku aliyosafir kulikua hakuna kombor lolot liliorushwa na after all kiev ameshambuliw vituo vyabumeme tu.wala haijapigwa mji wote.⁰wenzetu hawatungui tungui tu ndege hovyo diplomacy ndio inatumika.
 
Mwezi wa pili wa mwaka 2023 ni mwezi ambao utaingia kwenye historia za Dunia ambapo idara nyeti ya usalama wa Taifa ikisaidiana na Pentagon walifanikisha safari nyeti ya Rais wa Taifa la Marekani na kuthibitishia ulimwengu kuwa wao sio wa viwango vya China au Urusi ila wao ni WA viwango vya juu zaidi ambapo itawachukua miaka mingi wao kuwafikia.

Safari ya Rais Biden ni moja ya safari ya kijasusi ktk eneo la vita ambayo haikuwahi tokea kwa miongo kadhaa na inasemekana Biden ni Rais wa pili au wa tatu kwenda kwenye nchi ambayo ipo vitani ktk history za Taifa hili.

Safari hii ilivyo fanyiwa tathimini ya kina madhara yangeweza tokea na gharama zake. Safari hii nyuma ya pazia ilikuwa nisafari ya majaribio kwa Taifa la Marekani kwenye mitambo yao ya kunasa mawasiliano, mifumo yake yakuzuwia ICBM, mifumo ya ndege zake na cyber security.

Safari iliandaliwa kwa ustadi mkubwa sana na hapakuwa na lick ya taarifa japo wachache tulisha toa angalizo pasipo juwa tulikuwa tukimukika moja ya mission ya siri ndani ya Taifa tajiri duniani na lenye nguvu za kijeshi. Marais wawili wamesha iyonya Dunia katika kipindi cha utawala wao kuwa nguvu yakijeshi ya Taifa Hilo ni nguvu ambayo Dunia haikupata kuiona na kwa mtu anataka kujuwa nguvu yao basi awaguse ngede zao.

Safari ya Rais wa Marekani nchini Ukraine ililiacha Taifa la Urusi ktk kiza kinene kwenye ujasusi wao Mnao usema.

Kwanza hawakuwa wana juwa Biden atajaribu kwenda Ukraine ila kwa ubabe wa Marekani waliitambulisha Urusi kuwa Rais wao angeenda Ukraine na wangependa wampe assurance ya ulinzi means wasije dungua TREN au ndege yake.

Ila kwa kutokujuwa Urusi wakasema sisi hatuwezi kuwa assurance ya usalama wake Ukraine kitakacho mpata msitulaumu.

Jambo lifanya CIA kuwaonyesha kuwa wao sio wa viwango vya kawaida je wajuwa nn walifanya?

Ili Mrusi kum provoke USA na hasira kupewa short notice ya Ziara ya Rais Biden nchin Ukraine. Rais Putin Ali order test ya ICBM siku Biden stakuwa Ukraine ila sasa kitu CIA na Pentagon walimfanyia Mrusi hawezi sahau. Una ambiwa siku Rais Biden akiwa Ukraine kwa muda wote Mrusi hakuweza fanikisha kufanya test je ni kwanini? Una ambiwa system yote ya ICBM ili stack pamoja nakuwa na wataalam ngoma haikuweza kurespond jambo lilimkasirisha sana Putin nankutangaza kujitoa kwenye system mambo ya silaha za kinyukilia. Huu ni mfumo wakuonya nn mwenzako anafanya kwenye nyuklia zake ili usije ukapotea bila juwa.

Jambo ambalo wengi hatujuwi nikuwa kwa kipindi chote Mzee baba alikuwa Ukraine Mrusi hakuweza hata fanya kaz kila kitu kilichanganyikiwa mpaka USA walipo waachilia kwenye mifumo. Jambo hili limewatisha sana Warusi na sasa wanaona USA sio Taifa la kawaida kwenye maswala ya usalama.

Ikumbukwe Putin kwa sasa hata ndege zake anaziogopa kwa kitisho cha kuangushwa ndege zake. Yani Putin kwa sasa anatumia traine sio ndege
umekumbwa na nini dogo mbona kama ulikuwa na akili nyuma?
 
MLeta mada walau ungekuwa na elimu ndogo sana ya kijeshi na vifaa vya kijeshi na vinavyofanya kazi usingeleta mada hii.

Pili ungekuwa unachosema ni sahihi Crimea ingesharudi Ukraine na si ajabu millitary bases za NATO zingekuwa zipo tayari Urusi.

Tatu sijui hata kana unafahamu sababu ya vita hii kubwa na tishio kwa USA kuliko kwa Ukraine. Angekuwa na silaha ya aina hiyo angashamailiza vita.

Mwisho, Urusi kwenye tecnolojia za kivita sio kama DR Congo wako ahead of US in some cases tena mbali sana. When it come to combat readiness amd experinces, wanawazidi hata NATO armed forces combined. Utapenda nikupe link(neutral) ujifunze zaidi badala ya kuwa praise team
Wewe umekaa Kremlin au umesoma kwenye magazeti mkuu
 
Back
Top Bottom