Safari ya Rais Biden na Jinsi CIA walivyoandaa safari ya kijasusi Nchi Ukraine

Safari ya Rais Biden na Jinsi CIA walivyoandaa safari ya kijasusi Nchi Ukraine

Interest ya Marekani Ukraine sio kumshinda Putin kwenye vita tu Bali wanataka kudidimiza uchumi wake ili usiwe tishio kama ilivyofanyiwa Iran kumlinda Uturuki na Israel.Ukimnyong'osha Russia unanyong'onyesha pia mataifa yenye itikadi za Kiputin kama Beralus,Venezuela,Iran nk..
 
Mimi sina shida na mtu kuwa na upande, shida yangu ni pale unaposema kitu ambacho hakipo au hakina uhalisia.
Mfano: ni nchi gani duniani yenye makombora ya hypasonic ambayo ni tested kwenye real combat game...
Hoja lazima iwe na upande, mwambie aende shule tena au agoogle atazame ni nini Hoja?
 
Mwezi wa pili wa mwaka 2023 ni mwezi ambao utaingia kwenye historia za Dunia ambapo idara nyeti ya usalama wa Taifa ikisaidiana na Pentagon walifanikisha safari nyeti...
Usidanganye watu bwana mdogo hiyo safari ilikuwa inajulikana na Russia.walimpa green light Biden kwenda huko Kiev. Kama jambo hujui ni vizuri ukae kimya sio kila wakati unataka kuonekana JF.
 
Sasa kama unafikri ji rahis tu kutunguliana ndege na tren bas yule lavrov si angetunguliwa sana.hio safar hujamskia yule maria zakharova juz kasema walikua na taarifa ya safar ambayo ilitolewa...
Watu hawawajui wazungu, na waweza kuta hata hiyo vita wanajua kwanini wameiandaa. Dunia ina unafiki sana hii. Watu wanawasiliana.
 
Mwezi wa pili wa mwaka 2023 ni mwezi ambao utaingia kwenye historia za Dunia ambapo idara nyeti ya usalama wa Taifa ikisaidiana na Pentagon walifanikisha safari nyeti ya Rais wa Taifa la Marekani...
Nyie majasusi wa kutishia abiria kwenye daladala mna shida sana.. Ila we jamaa siku za karibuni ni kama unachanganyikiwa.. Thread zako humu zimekuwa shallow sana.

Mzee wa unaambiwa😀😀. Yaani Potus ndo akawe chambo kwenye kutest mifumo ya kivita dhidi ya Urusi? Hii fani unaitamani sana ila una kichwa chepesi sana huenda utakuwa mfuasi wa Evarist Chahali
 
Mwezi wa pili wa mwaka 2023 ni mwezi ambao utaingia kwenye historia za Dunia ambapo idara nyeti ya usalama wa Taifa ikisaidiana na Pentagon walifanikisha safari nyeti ya Rais wa Taifa la Marekan...
Muongo
 
Mwezi wa pili wa mwaka 2023 ni mwezi ambao utaingia kwenye historia za Dunia ambapo idara nyeti ya usalama wa Taifa ikisaidiana na Pentagon walifanikisha safari nyeti ya Rais wa Taifa la Marekani na kuthibitishia ulimwengu kuwa wao sio wa viwango vya China au Urusi ila wao ni WA viwango vya juu zaidi ambapo itawachukua miaka mingi wao kuwafikia...
Ukiripoti tokea kwa Mtogole
 
MLeta mada walau ungekuwa na elimu ndogo sana ya kijeshi na vifaa vya kijeshi na vinavyofanya kazi usingeleta mada hii...
Mnailaumu USA kwa ubabe ila pia ikitumia hekima mnataka itumie ubabe , kavamiwa Ukraine tena sio kisa NATO bali kwasabab ya Urusi kutaka kuyasaidia majimbo kujitenga ila unataka NATO waingilie, hata kipind cha Ghadaf na iraq mliomba wazungu waingilie walipoingilia leo mnawapa mzigo wa lawama , nyiny watu vichwa havipo sawa
 
Mimi si mtaalamu wa mambo ya kivita ila sidhani kama kulikua na usili mzito kwa ziara ya Biden Ukraine. Kama Rais wa Ukraine anavyotoka na kurudi Ukraine bila shida yoyote...
kipind hicho hakukuwa na mashambuliz ya drones kyiev , jifunzen kuumiza akili usijione genius kuliko watu wa dunia ya kwanza, siku moja baada ya Biden kuondoka Putin kalipua mabomu na kujtoa kwenye huo mkataba, ingekuwa kakubali Biden aingie Ukraine asingejitoa kweny huo mkataba , Putin alidhamiria kufanya kitu ila alishndwa
 
Unasifia sana hadi Uzi wenyewe umeuharibu ilitakiwa uelezee tu hiyo mission ilikuaje mwanzo Hadi mwisho

Laki we we Kila sehemu unaambiwa unaambiwa Kwani nyinyi US amekupeni Nini au Kwa sababu anatetea ushoga
vita haihusu ushoga , msipende kutuandikia tabia zenu
 
Kumbe alienda amejificha? Ndiyo maana alifikia kwenye Bunker anakojificha Zelensiky! Russia ilizijua taarifa hizo lakini isingeweza kumfanya cho chote Biden,kwa sababu haina mpango naye! Ila angenusa pua yake kwenye uwanja wa mapambano akatoka salama ndiyo ungeisifia CIA kwamba ilimpa coverage ya kutosha.
Vpi Zele alieenda Kherson
 
Mbona yule boris WA UK alienda tena front line kabisa. Na hatukusikia haya mapambo. Hata mimi naweza fika huko Ukraine putin asinifanye kitu na wala sihitaji ciaaaa
dah mpk nashindwa nkujibuje , ila kiufup baada ya wale viongoz wa ulaya kuingia kyiev , Urusi amekuwa akilipua mabomu hata 100 kwa siku ndan ya ukraine miji mbali mbali, so angalia Biden kaingia Ukraine ikiwq kweny situation gani, km huja underrate kitu kumbuka ww ni dunia ya 3, jiulize kwann wa dunia ya 1 hawaja underrate
 
Ndio aina ya wasomi wetu Babuu, wana ukasuku mwingi, ukiwaeleza Habari za Muhehe aliefurusha mjerumani na vibaraka wake watasema unawaletea Hekaya
anza wew , ttzo mnapenda kutupiana vilago
 
Usidanganye watu bwana mdogo hiyo safari ilikuwa inajulikana na Russia.walimpa green light Biden kwenda huko Kiev. Kama jambo hujui ni vizuri ukae kimya sio kila wakati unataka kuonekana JF.
na kwann Putin alihitoa kweny mkataba wa nyuklia siku moja baada ya ziara ya Biden , muwe mnatumia vichwa vya juu vzr
 
Back
Top Bottom