Nelson Jacob Kagame
JF-Expert Member
- Dec 26, 2022
- 9,576
- 13,545
Hatashinda
Lini sasa mkuu???Leo umebugi Mkuu... Nadhani niendelee kuamini machapisho yako yahapahapa Bongo.
Hamna missile test ilofanywa na Mrusi siku ya ujio wa Biden.
NATO wangekua na Uwezo huo , makombora ya Urusi kuipiga Ukraine wangekua wanafanya yasirushwe.
Watu mnadhan Biden na CIA walifanya opereshen kubwa kumfikisha Biden..
Ukweli ni kwamba CIA waliwataarifu wenzao wa FSB .
Mrusi ana majasusi wakutosha Ukraine hata kabla ya vita kuanza.... Ndio Maana Huwa wanasema, tutapiga maeneo yenu nyeti mnayofanyia vikao vyenu , tunayajua !!.
NEW START , ni mkataba baina wa Urusi na Marekan ,kuhusu silaha za nyukilia, idadi ya Vichwa vya nyukilia ambavyo Kila Nchi inatakiwa kua Nayo.
Mrusi kastuka, huwez kua na mkataba wa Nchi mbili tu, wakati US yupo ndan ya NATO, na NATO wengine kama mfaransa, Muingereza, Wana nyukilia !!....
Sasa kaamua KUACHANA nao , ili NATO ijirudi yenyewe na wakija itabidi Mrusi aweke mashariti mapya ili kubalance.
Kumbuken, Mrusi ndio Nchi pekee aliyefanikiwa kumiliki silaha za Hypersonic na alizozijaribisha kwenye vita Halisi.
Maiichukulie poa .. vita ya Ukraine, hata iweje, hata NATO wapeleke silaha gan, Hatima yake ni Moja tu MRUSI KUSHINDA NA MASHARITI YAKE KUFATWA .