Safari ya Rais Biden na Jinsi CIA walivyoandaa safari ya kijasusi Nchi Ukraine

Hatashinda
Lini sasa mkuu???
 
Kumbe alienda amejificha? Ndiyo maana alifikia kwenye Bunker anakojificha Zelensiky! Russia ilizijua taarifa hizo lakini isingeweza kumfanya cho chote Biden,kwa sababu haina mpango naye! Ila angenusa pua yake kwenye uwanja wa mapambano akatoka salama ndiyo ungeisifia CIA kwamba ilimpa coverage ya kutosha.
 
"unaambiwa", plain bullshit!

CIA waliwataarifu wenzao wa Russia ili kupata security assurance. Sasa hapo unaongelea siri ipi tena?

Mnajadili mambo yanayaobeba mustakabali wa dunia kama vile mnajadili simba na yanga!

Urusi hawawezi kumdhuru rais wa Marekani, na Marekani hawawezi kumdhuru rais wa Urusi. Ndio maana wanataarifiana.

Juhudi za kuepusha vita ya moja kwa moja kati Marekani na Urusi, ni kubwa kuliko unavyofikiri.
 
Huu ni uongo. Biden kamwe hawezi kwenda Ukraine hii ya sasa bila kuwaambia Russia. Simple google utapata kila kitu kuhusu hiyo ziara na jinsi Russia walipewa taarifa kabla.

Biden na USA hawezi kufanya risk kubwa hivyo maana USA wanajua kwa vyovyote Russia wangejua tu kuwa Biden anaenda Kyiv



Hawa hapa wamarekani wenyewe wanasema waliwambia wenzao wa Russia

 
Jaribu kupunguza mahaba, utoto, utani, mhemko,papara,ulimbukeni,ushamba,ujinga,kupenda sifa,kuonekana mjuaji n.k wakati hujui kitu!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

February 20, 2023 - Russia-Ukraine news - CNN

https://www.cnn.com β€Ί europe β€Ί live-news β€Ί russia-ukrain...



20 Feb 2023 β€” US President Joe Biden made an unprecedented trip to Kyiv early Monday ... United States informed Russia of the plans to visit the Ukrainian ...


US informed Russia of Joe Biden's Kyiv visit hours before ...

https://www.theguardian.com β€Ί us-news β€Ί feb β€Ί how-bi...



20 Feb 2023 β€” The White House notified the Kremlin of Joe Biden's intention to visit Kyiv hours before he departed for Ukraine, it has been revealed, as the ...


US alerted Russia of Biden's surprise tri




20 Feb 2023 β€” "We did notify the Russians that President Biden would be traveling to Kyiv. We did so some hours before his departure for deconfliction...............


U.S. alerted Russia to Biden's Ukraine visit for ... - CBS News

https://www.cbsnews.com β€Ί Politics



20 Feb 2023 β€” Washington β€” The U.S. notified Russia of President Biden's secret visit to Ukraine hours before his departure in an attempt to avoid ...


Hivi ni vyombo vikubwa vya habari duniani vinavyomilikiwa na wamagharibi wenyewe!!!!!!!!!!!!!!!!!!! Wewe ni nani!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Hatakama ni uchawa lkn wenzenu hawawi hivi asee.

Kijana umezidi sifa sana mpaka unaboa[emoji16][emoji23].

Hivi nyie team Russia na team Nato(upinde) huwa mnapata faida gan kwenye kuyapambania mataifa yasiyowatambua michango yenu wala kuwaheshimu zaid ya kuwaona manyani tu..

Mngekuwa na akili mngekuwa mnatoa report za yanayoendelea afrika hususan huko Congo, sudan, Nigeria n.k kulko kuongelea shida za nje wakat mnashida zenu ndani.
 
Mbona yule boris WA UK alienda tena front line kabisa. Na hatukusikia haya mapambo. Hata mimi naweza fika huko Ukraine putin asinifanye kitu na wala sihitaji ciaaaa
 

Haikuwa siri kihivyo. Waliwaambia Russia tutakuja Ukraine at such and such time and place

Na haikuwa safari salama na ya kujiamini sana. Waliogopa kutunguliwa ndo maana wakatoa taarifa mapema. Kwamba Russia msije kusema sikujua.

Which means, hawana uwezo wa kuja na kuondoka salama kimya kimya. Wakienda kwenye makambi yao Uarabuni katikati ya vita huwa hawamwambii Mwarabu. Russia is a different kettle of fish.
 
Kuna comrade watu kama nyinyi huwaita "kondoo weusi" hizi nyuzi mnazoziandaa kwa ustadi huu mlipaswa kuwaandikia wana waafrika mfano wa kinjekitile Ngwale na mfano wao, mathalan Abdul Rauf songea Mmbano au Chief Mkwawa
 
Ila kwa kutokujuwa Urusi wakasema sisi hatuwezi kuwa assurance ya usalama wake Ukraine kitakacho mpata msitulaumu.


πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Wana intelijensia wengine wangese sanaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ kilichoandikwa na kichwa cha habari ni ujinga mtupu.πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kwa jinsi mmoja wapo anajihami na kujilinda kati ya putin na biden inaonyesha nani jasiri nani muoga
Putin hata kukaa karibu na wasaidizi wake ni shida
Kutoka nje ya nchi yake ni shida
As part of my reasoning bila kujua hayo mengine its like Russian are weak
 
unataka atoke aende wapi ? siyo hulka yake kuzurura
 
Hata wewe mkuu inaonekana una upande kwa maandiko haya..
Mimi sina shida na mtu kuwa na upande, shida yangu ni pale unaposema kitu ambacho hakipo au hakina uhalisia.
Mfano: ni nchi gani duniani yenye makombora ya hypasonic ambayo ni tested kwenye real combat game. Ni moja tu Russia. Proofs zipa hapa sijaweka mahaba.

Lakini siwezi kusema mwenye kombora la nyuklia kubwa zaidi na lenye uwezo wa juu zaidi nikasema Russia ntakuwa mwongo. Maana sio Russia, US, UK, etc ambae amefanya test tena in real combat, ili tuseme ni kweli. Hivi ndivyo mtu anapaswa kusema. Sio porojo za vijiweni.

Tuambie jina la hiyo tech, inatumia platform gani kufikia utendaji wake, precursor zake, etc
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…