Hoja lazima iwe na upande, mwambie aende shule tena au agoogle atazame ni nini Hoja?Mimi sina shida na mtu kuwa na upande, shida yangu ni pale unaposema kitu ambacho hakipo au hakina uhalisia.
Mfano: ni nchi gani duniani yenye makombora ya hypasonic ambayo ni tested kwenye real combat game...
Usidanganye watu bwana mdogo hiyo safari ilikuwa inajulikana na Russia.walimpa green light Biden kwenda huko Kiev. Kama jambo hujui ni vizuri ukae kimya sio kila wakati unataka kuonekana JF.Mwezi wa pili wa mwaka 2023 ni mwezi ambao utaingia kwenye historia za Dunia ambapo idara nyeti ya usalama wa Taifa ikisaidiana na Pentagon walifanikisha safari nyeti...
Yani hapo ndo kajivua chupi kua hajui kitu,Paragraph hii inapangua hoja zote ulizoandika!
Hawezi kwenda bila kutaarifu mbabe mwenzake!
Watu hawawajui wazungu, na waweza kuta hata hiyo vita wanajua kwanini wameiandaa. Dunia ina unafiki sana hii. Watu wanawasiliana.Sasa kama unafikri ji rahis tu kutunguliana ndege na tren bas yule lavrov si angetunguliwa sana.hio safar hujamskia yule maria zakharova juz kasema walikua na taarifa ya safar ambayo ilitolewa...
Nyie majasusi wa kutishia abiria kwenye daladala mna shida sana.. Ila we jamaa siku za karibuni ni kama unachanganyikiwa.. Thread zako humu zimekuwa shallow sana.Mwezi wa pili wa mwaka 2023 ni mwezi ambao utaingia kwenye historia za Dunia ambapo idara nyeti ya usalama wa Taifa ikisaidiana na Pentagon walifanikisha safari nyeti ya Rais wa Taifa la Marekani...
Hawa uliowataja wanatutambua kwa kipi?Mngekuwa na akili mngekuwa mnatoa report za yanayoendelea afrika hususan huko Congo, sudan, Nigeria n.k kulko kuongelea shida za nje wakat mnashida zenu ndani.
MuongoMwezi wa pili wa mwaka 2023 ni mwezi ambao utaingia kwenye historia za Dunia ambapo idara nyeti ya usalama wa Taifa ikisaidiana na Pentagon walifanikisha safari nyeti ya Rais wa Taifa la Marekan...
Ukiripoti tokea kwa MtogoleMwezi wa pili wa mwaka 2023 ni mwezi ambao utaingia kwenye historia za Dunia ambapo idara nyeti ya usalama wa Taifa ikisaidiana na Pentagon walifanikisha safari nyeti ya Rais wa Taifa la Marekani na kuthibitishia ulimwengu kuwa wao sio wa viwango vya China au Urusi ila wao ni WA viwango vya juu zaidi ambapo itawachukua miaka mingi wao kuwafikia...
kwan ugomvi ni wa nan?Wamalize vita kama hao us ni wababe kweli, waache ngonjera
Mnailaumu USA kwa ubabe ila pia ikitumia hekima mnataka itumie ubabe , kavamiwa Ukraine tena sio kisa NATO bali kwasabab ya Urusi kutaka kuyasaidia majimbo kujitenga ila unataka NATO waingilie, hata kipind cha Ghadaf na iraq mliomba wazungu waingilie walipoingilia leo mnawapa mzigo wa lawama , nyiny watu vichwa havipo sawaMLeta mada walau ungekuwa na elimu ndogo sana ya kijeshi na vifaa vya kijeshi na vinavyofanya kazi usingeleta mada hii...
kipind hicho hakukuwa na mashambuliz ya drones kyiev , jifunzen kuumiza akili usijione genius kuliko watu wa dunia ya kwanza, siku moja baada ya Biden kuondoka Putin kalipua mabomu na kujtoa kwenye huo mkataba, ingekuwa kakubali Biden aingie Ukraine asingejitoa kweny huo mkataba , Putin alidhamiria kufanya kitu ila alishndwaMimi si mtaalamu wa mambo ya kivita ila sidhani kama kulikua na usili mzito kwa ziara ya Biden Ukraine. Kama Rais wa Ukraine anavyotoka na kurudi Ukraine bila shida yoyote...
vita haihusu ushoga , msipende kutuandikia tabia zenuUnasifia sana hadi Uzi wenyewe umeuharibu ilitakiwa uelezee tu hiyo mission ilikuaje mwanzo Hadi mwisho
Laki we we Kila sehemu unaambiwa unaambiwa Kwani nyinyi US amekupeni Nini au Kwa sababu anatetea ushoga
Vpi Zele alieenda KhersonKumbe alienda amejificha? Ndiyo maana alifikia kwenye Bunker anakojificha Zelensiky! Russia ilizijua taarifa hizo lakini isingeweza kumfanya cho chote Biden,kwa sababu haina mpango naye! Ila angenusa pua yake kwenye uwanja wa mapambano akatoka salama ndiyo ungeisifia CIA kwamba ilimpa coverage ya kutosha.
dah mpk nashindwa nkujibuje , ila kiufup baada ya wale viongoz wa ulaya kuingia kyiev , Urusi amekuwa akilipua mabomu hata 100 kwa siku ndan ya ukraine miji mbali mbali, so angalia Biden kaingia Ukraine ikiwq kweny situation gani, km huja underrate kitu kumbuka ww ni dunia ya 3, jiulize kwann wa dunia ya 1 hawaja underrateMbona yule boris WA UK alienda tena front line kabisa. Na hatukusikia haya mapambo. Hata mimi naweza fika huko Ukraine putin asinifanye kitu na wala sihitaji ciaaaa
Usije sema sikujua means kipigo kingemuhusu dictatorHaikuwa siri kihivyo. Waliwaambia Russia tutakuja Ukraine at such and such time and place...
anza wew , ttzo mnapenda kutupiana vilagoNdio aina ya wasomi wetu Babuu, wana ukasuku mwingi, ukiwaeleza Habari za Muhehe aliefurusha mjerumani na vibaraka wake watasema unawaletea Hekaya
na kwann Putin alihitoa kweny mkataba wa nyuklia siku moja baada ya ziara ya Biden , muwe mnatumia vichwa vya juu vzrUsidanganye watu bwana mdogo hiyo safari ilikuwa inajulikana na Russia.walimpa green light Biden kwenda huko Kiev. Kama jambo hujui ni vizuri ukae kimya sio kila wakati unataka kuonekana JF.
mwambie Putin aende hata hapo kherson aoneWatu hawawajui wazungu, na waweza kuta hata hiyo vita wanajua kwanini wameiandaa. Dunia ina unafiki sana hii. Watu wanawasiliana.