Safari ya wanawake sio fupi kwa kiasi hicho

🤔🤔 its true theoretically.
Theoretically kiveepee? Mimi nimefanya na wengi wengine wamefanya imework.
Ukikutana na mtoto wangu wa kike atakupa heshima zote kama binadamu, kaka yake, mjomba wake, boss wake na mkubwa wake, lakini sio kama mwanaume.

Bahati vmzuri watoto wangu wa kike walikuwa wazuri sana darasani, walikuwa wanashindana na wanaume kupata alama za juu kwenye matokeo. Mtoto haogopi ku huge baba yake mzazi na mealimu wake mkuu ataogopa Kukuhuge wewe rafiki yake wa mtaani? Anaweza kuongea na baba yake bila vikwazo Wala woga atashindwaje kuongea na wewe?
 
Unagusia confidence mkuu ama??
Mbona wengi tu huo ujasiri uliosema hapo wanao, na ni kitu cha kawaida kabisa kwa mabinti wa sasa labda zamani ila ujasiri wengi wao wanao mkuu.

Na kuhusu hugs hizo ziwezi kugusia sana coz tamaduni zimetofautiana, kuna jamii haziruhusu.
Nadhani mjadala ulikua ni ishu ya matumizi wala sio confidence ambalo ni suala mtambuka.
 
Matumizi yanachangia confidence ya mtoto wa kike, kumpa hela zaidi ya kaka yake kunamfanya ajisikie yeye ni dhaifu kuliko kaka yake. Anastahili huruma kuliko kaka yake. Kaka jiongeze.
 
Hamna kitu kama hicho, kama ana matumizi mengi atapewa zaidi. Vivyo hivyo hata kama wa kiume ana matumizi mengi kwa kipindi husika ataongezewa tu. Wala sio ishu ya huruma ni ubinadamu tu.
 
Ndo maana vitabu vya dini vinaahiza tuishi nao kwa akili. Wanaume Wana vitu vingi sana wasivyovijua kuhusu wanawake. Ukweli ni kwamba wanawake Wana akili nyingi sana kuliko wanaume. Mwanaume msomi na Mzee anaweza kuendeshwa na mwanamke mdogo ambae hajasoma kabisa.

Hata watoto tunaozaa nae mwisho wa siku watawarubuni wakishaanza kufanyakazi na wataishia kusaidia mama zao zaidi kuliko baba zao. Yaani atawateka watoto wamsaidie yeye kuliko wewe. Yaani watakuchuna wewe ukishafikisika wanahamia kwa watoto na kuacha ufe mwenye bila misaada ya watoto. Unamsomesha watoto kwa faida ya mama.

Hata kama unamsomesha mtoto wako lakini usisahau kujiwekea akiba ya uzeeni ikisaidie kula, kulala, kuvaa na matibabu yako. Watoto watamsadia mama sio wewe baba.
Ukweli mtupu mwana....
 
Back
Top Bottom