Safari ya wanawake sio fupi kwa kiasi hicho

🤔🤔 its true theoretically.
Theoretically kiveepee? Mimi nimefanya na wengi wengine wamefanya imework.
Ukikutana na mtoto wangu wa kike atakupa heshima zote kama binadamu, kaka yake, mjomba wake, boss wake na mkubwa wake, lakini sio kama mwanaume.

Bahati vmzuri watoto wangu wa kike walikuwa wazuri sana darasani, walikuwa wanashindana na wanaume kupata alama za juu kwenye matokeo. Mtoto haogopi ku huge baba yake mzazi na mealimu wake mkuu ataogopa Kukuhuge wewe rafiki yake wa mtaani? Anaweza kuongea na baba yake bila vikwazo Wala woga atashindwaje kuongea na wewe?
 
Unagusia confidence mkuu ama??
Mbona wengi tu huo ujasiri uliosema hapo wanao, na ni kitu cha kawaida kabisa kwa mabinti wa sasa labda zamani ila ujasiri wengi wao wanao mkuu.

Na kuhusu hugs hizo ziwezi kugusia sana coz tamaduni zimetofautiana, kuna jamii haziruhusu.
Nadhani mjadala ulikua ni ishu ya matumizi wala sio confidence ambalo ni suala mtambuka.
 
Matumizi yanachangia confidence ya mtoto wa kike, kumpa hela zaidi ya kaka yake kunamfanya ajisikie yeye ni dhaifu kuliko kaka yake. Anastahili huruma kuliko kaka yake. Kaka jiongeze.
 
Matumizi yanachangia confidence ya mtoto wa kike, kumpa hela zaidi ya kaka yake kunamfanya ajisikie yeye ni dhaifu kuliko kaka yake. Anastahili huruma kuliko kaka yake. Kaka jiongeze.
Hamna kitu kama hicho, kama ana matumizi mengi atapewa zaidi. Vivyo hivyo hata kama wa kiume ana matumizi mengi kwa kipindi husika ataongezewa tu. Wala sio ishu ya huruma ni ubinadamu tu.
 
Ukweli mtupu mwana....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…