Safari ya Yanga kuishia kwenye makundi?, Mc Alger na Al Hilal zitasonga mbele Robo fainali?

Hapo uki apply "TUKI" "WAKI" yanga tunatoboa vizuri😄
 
Sasa ana win game mbili halafu amuombe Tp Mazembe amfanyie wepesi ili iweje? Walati hapo kuwin tu mechi mbili ni tiketi ya Yanga kufuzu
Hakuna hata mechi moja kati ya zilizosalia ambazo Utopolo watashinda. MC Alger siyo timu ya kitoto. Uzoefu ni kwamba wana uwezo wa kufunga hata ugenini. Sasa kwa mabeki wale wachovu akina Bacca mjiandae kisaikolojia mkipanda zinapigwa counters imooo. Kwa Al Hilal ndio msahau kabisa. Ibenge kama kuwaachia atawaachia Wakongomani wenzake na siyo nyie. Kiuwezo Al Hilal wameizidi Utopolo mbingu na ardhi hamuwawezi.
 
Yanga akishinda mechi zake wala haihataji ikawa hivi, ikawa vile kwasababu automatically Mc Alger watakuwa wamepoteza point 3
Na hao wengine wakishinda mechi zao 2?
 
Mmekuwa watabiri siku hizi.
 
Yanga tunafuzu
Hilal hawezi malizia group bila kipigwa
Yaan umanaanisha Umfunge Ibenge away kisha umfunge MC home.-Sawa inawezekana Ila

MC Alger amfungwe na Mazembe.Sawa Tarehe 10 sio mbali.
 
Sawa shekh Yahaya
 
Yanga akipoteza kwa Al hilal na mazembe naye akifungwa na waarabu,anakuwa ameyaaga rasmi mashindano
 
Mmekuwa watabiri siku hizi.
Kweli nyani haoni lake kund*le ila wewe ni nabii?

Endeleni kushinda moja moja ,msije kushanga kushangaa baada ya kundi lenu kuamuliwa kwa magoli, sisi tunatunza risiti.

Maana wewe ukishinda na Bravo akishinda au wewe ukadroo na Bravo akadroo,halafu angola akashinda kwa tofauti ya goli mbili umetoka.Cxfaxen mwenyewe ameshatoka, sizani kama atakaza kwenye shirikisho nguvu atahamishia kwenye ligi yao,anaweza akaamua kuchezesha wachezaji wa kikosi cha pili/vijana.

Mkijichanganya mkapigwa halafu Bravo kadroo/kushinda au Mkadroo then Bravo kashinda, Bravo ushindi wowote ule unampeleka robo.
 

Kwa point ☝️ yeyotee anafuzuuu robo Fainali,hata mazembee Wana chance.
Makolo wanaelewa basi
Wamesahau mwaka juzi walifungwa nje ndani na Raja ila wakaenda robo
Wanabweka tu hapa bila tafakuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…