Safari ya Yanga kuishia kwenye makundi?, Mc Alger na Al Hilal zitasonga mbele Robo fainali?

Safari ya Yanga kuishia kwenye makundi?, Mc Alger na Al Hilal zitasonga mbele Robo fainali?

Hapo uki apply "TUKI" "WAKI" yanga tunatoboa vizuri😄
 
Sasa ana win game mbili halafu amuombe Tp Mazembe amfanyie wepesi ili iweje? Walati hapo kuwin tu mechi mbili ni tiketi ya Yanga kufuzu
Hakuna hata mechi moja kati ya zilizosalia ambazo Utopolo watashinda. MC Alger siyo timu ya kitoto. Uzoefu ni kwamba wana uwezo wa kufunga hata ugenini. Sasa kwa mabeki wale wachovu akina Bacca mjiandae kisaikolojia mkipanda zinapigwa counters imooo. Kwa Al Hilal ndio msahau kabisa. Ibenge kama kuwaachia atawaachia Wakongomani wenzake na siyo nyie. Kiuwezo Al Hilal wameizidi Utopolo mbingu na ardhi hamuwawezi.
 
Sawa
IMG-20241207-WA0005.jpg
 
Yanga akishinda mechi zake wala haihataji ikawa hivi, ikawa vile kwasababu automatically Mc Alger watakuwa wamepoteza point 3
Na hao wengine wakishinda mechi zao 2?
 
Bado lolote linatokea hivi umewaza mzunguko ujao yanga na Al hilal wakasare na mazembe na alger wakasare pia ina mana game ya mwisho yanga akimfunga Alger Kwa mkapa anafuzu bila kujali matokeo ya mazembe na al hilal so hapo point 4 yanga zinauwezo wa kumbeba Hila point 6 ni uhakika zaidi sababu azitohitaji msaada wa matokeo ya mwenzako
Mmekuwa watabiri siku hizi.
 
Yanga tunafuzu
Hilal hawezi malizia group bila kipigwa
Yaan umanaanisha Umfunge Ibenge away kisha umfunge MC home.-Sawa inawezekana Ila

MC Alger amfungwe na Mazembe.Sawa Tarehe 10 sio mbali.
 
Hakuna hata mechi moja kati ya zilizosalia ambazo Utopolo watashinda. MC Alger siyo timu ya kitoto. Uzoefu ni kwamba wana uwezo wa kufunga hata ugenini. Sasa kwa mabeki wale wachovu akina Bacca mjiandae kisaikolojia mkipanda zinapigwa counters imooo. Kwa Al Hilal ndio msahau kabisa. Ibenge kama kuwaachia atawaachia Wakongomani wenzake na siyo nyie. Kiuwezo Al Hilal wameizidi Utopolo mbingu na ardhi hamuwawezi.
Sawa shekh Yahaya
 
Yanga akipoteza kwa Al hilal na mazembe naye akifungwa na waarabu,anakuwa ameyaaga rasmi mashindano
 
Mmekuwa watabiri siku hizi.
Hakuna hata mechi moja kati ya zilizosalia ambazo Utopolo watashinda. MC Alger siyo timu ya kitoto. Uzoefu ni kwamba wana uwezo wa kufunga hata ugenini. Sasa kwa mabeki wale wachovu akina Bacca mjiandae kisaikolojia mkipanda zinapigwa counters imooo. Kwa Al Hilal ndio msahau kabisa. Ibenge kama kuwaachia atawaachia Wakongomani wenzake na siyo nyie. Kiuwezo Al Hilal wameizidi Utopolo mbingu na ardhi hamuwawezi.
Kweli nyani haoni lake kund*le ila wewe ni nabii?

Endeleni kushinda moja moja ,msije kushanga kushangaa baada ya kundi lenu kuamuliwa kwa magoli, sisi tunatunza risiti.

Maana wewe ukishinda na Bravo akishinda au wewe ukadroo na Bravo akadroo,halafu angola akashinda kwa tofauti ya goli mbili umetoka.Cxfaxen mwenyewe ameshatoka, sizani kama atakaza kwenye shirikisho nguvu atahamishia kwenye ligi yao,anaweza akaamua kuchezesha wachezaji wa kikosi cha pili/vijana.

Mkijichanganya mkapigwa halafu Bravo kadroo/kushinda au Mkadroo then Bravo kashinda, Bravo ushindi wowote ule unampeleka robo.
 
Upo sawa, Ingawa Alger ana nafasi zaidi kuliko Yanga.

Yanga ina p4. Alger ina p5. Point zilizobaki ni 6. Alger anahitaji 4 na Yanga anahitaji 6. Akizikosa hizo 4 basi aingie kwenye hesabu za Yanga kupoteza au kudraw kutegemeana na katika hizo 4 kapoteza ngapi. Yanga yeye hana option zaidi ya kumfunga Alger na Hila

Kwa point ☝️ yeyotee anafuzuuu robo Fainali,hata mazembee Wana chance.
Makolo wanaelewa basi
Wamesahau mwaka juzi walifungwa nje ndani na Raja ila wakaenda robo
Wanabweka tu hapa bila tafakuri
 
Back
Top Bottom