Safari yangu Dar - Kahama nayokumbana nayo

Mkuu makuyuni Si ipo Arusha huku mpakani na Manyara sasa Njia ya moshi Dar imefata nini ????
 
Hiki kipande cha Moro Dom kinachosha sana na hakina mvuto.kuitafuta Dom inakuwa kama unaenda sijui wapi.na ubaya wa barabara yenyewe ina vi mashino vidogo vidogo vikali sana. Vimeshamchania tairi jamaa yangu wa Nissan Navara.
 
Ukifika ule mji wa yerusalem usisahau kushare
 
Hiki kipande cha Moro Dom kinachosha sana na hakina mvuto.kuitafuta Dom inakuwa kama unaenda sijui wapi.na ubaya wa barabara yenyewe ina vi mashino vidogo vidogo vikali sana. Vimeshamchania tairi jamaa yangu wa Nissan Navara.

Yes panaboa Sana Kama Dom -singida...
 
Tayari kuna lorry toka dom limehama kushoto kuja gonga gema kulia.upande wa dereva. Sijui nini kilimsibu dereva au gari

Tembea kwa mwendo elekezi jomba mana ni salama kwako, watu wengine na chombo chako. Achana na ligi may be kama ni mzoefu na hiyo barabara, kuna vishimo vya kustukiza ambavyo ni hatari
 
Kabisa na ukitizama huoni why wanaweka mwendo elekezi sehemu imetulia kabisa ambayo ilifaa kulipizia maeneo mengine

ila kusema kweli vibao vya hamsini vinakela kuna sehem imenyooka unatamani ukanyage sema 50 inazingua
 
Eti 'LAV4[emoji849][emoji849][emoji849]

unamiliki hata baiskeli wewe?

Mmezidi uwongo humu em punguzeni basi. Mxiuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…