Safari yangu Dar - Kahama nayokumbana nayo

Nmeambatana na Nissan NAVARA moja naona jamaa mbishi nmeingia hapa Cate Hotels kupata Bfast naye kaunga hapa hapa. Kanisalimia na kwenda kukaa na familia yake. Anasafiri na watu kadhaa nahisi ni watoto na wife. Jamaa amekomaa sana na mimi.
Amekomaa na wewe kivip sasa wakati kila mtu na Safari zake?!
 
Reactions: BAK
Niliwaona nyie mnachukua videos njiani ya gari yangu ili mje muoneshe kabla na baada...nmewashtukia. naendesha kwa umakini.....nyau nyie...[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kumbe ulituona [emoji3][emoji3][emoji3]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…