Safari yangu Jijini Arusha na niliyoyakuta

Safari yangu Jijini Arusha na niliyoyakuta

No. 3 Si kweli kabisa.
Asilimia kubwa ya waendesha magari wanatii sheria vizuri. Isipokuwa Asilimia kubwa ya waendesha bodaboda ndio ovyo na hii ni kawaida kwa mikoa yote.

Karibu tena chuga!
 
Kwa mara ya kwanza nimeshuhudia idadi kubwa ya wasichana (wanawake) wanaokunywa sana pombe kali na kuvuta bangi bila hofu Arusha. Lakini ni wapambanaji haswaaaa kwenye kutafuta pesa
Sure thing nilivyokuwa dar ukivuta bangi public kinakula kwako mda si mrefu watu watakuchoma tu ila chuga kwanzia nimekuja pita maclub au sehem nyingi za starehe watu wanajitenga pembeni wanapiga kama kawaida hasa usiku unakuta watu wameweka kwenye hukar wanafumua tu
 
Nilikua Chekereni mitaa ya Neema house. Nilienda kumla manzi Sakina, kwa 40k bao 3. Nishatoka baada ya migodi ya Moramu, Kwaru, kufungwa. Nimekula sananyama Rokii siku za ijumaa. I'll be back there.
TUMA PICHA YAKE! UMELIWA MKUU..😳
 
Ma chalii wa Arusha wengi ni watu poa sana na wana urafiki wa kweli hawana unafiki ukikosea wanakuchana live kabisa pia ni watu wanaosaidiana sana michongo hasa ya pesa.
Ndo Mana mmoja akinunua mzinga wa nyagi wengine ni kutembeza vibarauli wanaongea hata Kama hawakujui
 
Back
Top Bottom