Safari yangu Jijini Arusha na niliyoyakuta

Kwetu arusha lakn kila nikienda nashindwa kukaa kabisa , pombe watu wanakunywa mpk huruma, lugha ya kule imenishinda kabisa, yan mtu anaweza kukusemesha hasa hawa vijana ukashindwa kumuelewa.
Nchi ndani ya nchi
"asee chalii yake si ni nimembutua deree, kila nikimmanya anaongea nfa nfa nfa, nikaona huyu ni nte"

Huyu mjinga alikuwa ananiambia hizi stori mtaani kwao hapo Esso, hata sikuelewa yaan[emoji848]
 
Kwetu arusha lakn kila nikienda nashindwa kukaa kabisa , pombe watu wanakunywa mpk huruma, lugha ya kule imenishinda kabisa, yan mtu anaweza kukusemesha hasa hawa vijana ukashindwa kumuelewa.
Nchi ndani ya nchi
😹😹😹
 
Mkuu ungepita na The Hub sehemu ya kistaarabu yenye vibe Kama lote kwa sasa Arusha, ni sehemu ya watu na pesa zao sema sungusungu (wanawake wa escorts) wapo ila lazima uwe mwenyeji na cha msingi ni vizuri ukienda nenda na mkeo Kama tunavyofanya sisi.Arusha is my city
 
Kwa hapa Arusha bangi wanachoma kama sigara tu. Wenyewe wanasema ukiona umechomeshwa ujue una tabia za aidha wizi, ubabe usio na maana na kadhalika. Kuna mama mmoja ni mtu mzima sana anachoma bangi yeye na mabinti zake nje tu ya duka lao bila hata wasiwasi
 
Naongeza namba 9 kwani nipo Arusha mwaka wa nne Sasa.
9. Kipindi cha baridi ratiba za kuoga watu wengi Arusha inapungua na kupelekea wengine kutokuoga kabisa kwa hata zaidi ya siku mbili na ukitaka kuhakiki panda hiace halafu madirisha yawe 🔒
 
10. Sio kila mwanamke Arusha ambaye ni mweupe ni mweupe kiasili, wengi wao pia wameenda Congo ( kujichubua)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…