Safari yangu Jijini Arusha na niliyoyakuta

Safari yangu Jijini Arusha na niliyoyakuta

Sehemu nyingi za chakula hawajui kusonga ugali ukaiva vizuri.

Ugali umejaa mabuja, ungaunga, umepoa kama kuoza kidole kinaingia ndani.
Pia migahawa yao inafanana kwenye mapishi chakula utakacho kula dalaja mbili hakina tofauti na cha mwanama, hizo kachumbri sasa......lakini arusha nimekupenda sana nikimaliza kufanya kitu kilicho nileta huku ...nitafanya mapango nihamie
 
Moromboo kwenye nyama za mbuzi umeenda tayari?
Karibu sana lakini jua kabisa huu mkoa wa kibishi sana wanaishi wabishi tyu
 
Siku nane kwa matokeo yote hayo hapo kuna uongo.

Ila kuna mengine ya hapa Chuga mnayasifia lakini ni ujinga wa kutakiwa kutokomezwa Watu waishi kistaarabu.

Kwa mfano tabia ya kutukana hovyo, Mtu anaropoka tu 'we ni coomer'......wanaona ni sifa.
 
Dah umenikumbusha mwanama aisee nilikaa kidogo sana hapo time naingia chuga nikiwa na swaga zangu za kibongo.
Ujanja wangu uliishia hapo. 😢😢watu Wa chuga sio Jamanim
Hatari ! Lakini kinachofurahisha huku mahitaji ya chakula yanapatika kwa urahisi ,wingi na Kwa bei nzuri kidogo mfano unga bei ndogo sana
 
Yani chakula eti kinapikwa mchana ndicho hicho hadi jioni [emoji848][emoji848]

Kwanini usipike ugali wa mchana kisha jioni au usiku ukapika mwingine flesh?

Ugali kiporo halafu haukupikwa ukaiva vizuri Yani unakuta mbayaaaa.

Wali sasa, mkavu haujaiva vizuri.

Yani mtu umetoka nyumbani umeaga unaenda kazini, kazi yako ni kupika Kwanini usijifunze kupika vizuri?

Mimi ikabidi nianze kula matunda na mahindi ya kuchoma tu maana nimebadilisha sehemu za kula tena ambazo zinamajina nikaona kwenye mapishi ya chakula bado.

Poor supervision, poor management!
 
Pia migahawa yao inafanana kwenye mapishi chakula utakacho kula dalaja mbili hakina tofauti na cha mwanama, hizo kachumbri sasa......lakini arusha nimekupenda sana nikimaliza kufanya kitu kilicho nileta huku ...nitafanya mapango nihamie
Mkuu huko ni kutalii tu na Bata Ila sio sehemu ya kuishi huko.
Kuna ukenya Sana huko na jamaa wa mkoa jirani ndo wamejaa sana.ukifungua biashara mtu kununua kwako mpaka ajue wewe Kama ni wa kwao.yaani huko ni Kenya typical.
Sishauri lakini ni maamuzi yako.huko ukikutana na mtu kitu Cha kwanza baada ya salamu ni "" aisee wewe ni mtu wa wapi""
 
Nilipita mitaa ya Kaloleni usiku. Ni balaa. Kando ya barabara warembo wamesimama. Mara naanza kufuatiliwa na kuitwa kwa mbwembwe na bashasha. Ikabidi nitoke nduki ili kujinusuru.
 
Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania - Kazi iendelee.

Ilikuwa ni furaha kutoka Nyanda za Juu Kusini na kuja Ukanda huu wa Kaskazini mwa Tanzania.

Jiji maarufu kabisa kwa harakati za utalii.

Yafuatayo ndiyo niliyoyaona na mengine yamenishangaza.

1. Covid 19 imeutesa sana huu mji. Mishe zilizotegemea utalii zilikumbwa na pigo kama lile la afande moroto. Ingawa hali kama inarejea.

2. Ulaji nyama na unywaji wa pombe hufanyika kwa kiasi kikubwa mnoo. Si dhani kama kuna mkoa unawazidi hawa jamaa.

3. Utii wa sheria kwa watumiaji wa vyombo vya moto ni kama haiwahusu. Madereva wapo rafu mnoo. Watu pekee wanaojitahidi ni toyo/boda ingawa ni wapo wahuni wachache.

Uendeshaji magari ni tatizo katika hili jiji. Trafiki inabidi wafanye kazi ikiwa ni pamoja na kuchora upya namna ya matumizi ya barabara.

4. Watembea kwa miguu hawa ndiyo viburi waliopitiliza. Wanajiona nao ni kama magari/pikipiki.

5. Tabia za kibepari ni nyingi mno kuliko ujamaa. Wepesi pia kupeana michongo, wanaamini nao wanaweza tokea humo.

6. Bei za milupo nadhani bado bei elekezi inafanya kazi. Ila ukiwa mgeni unaweza pewa bill kubwa. Kuwa makini, wengine bado ni wezi hawaheshimu kazi zao.

7. Changamoto katika meno ya hawa watu ni shida. Demu mkali unakuta meno yameharibika, rangi zilizopitiliza. Sijajua chanzo hasa ni nini, je ni maji wanayotumia ama ulaji nyama uliopitiliza?

Iweje mamlaka ya maji safi wanashindwa kulitatua hili,wala madaktari wetu pia wameshindwa.
Hata kama linawapa identity bado ni mbaya pale inapodhidi,ingawa inaleta urembo kwa wengine.

8. Jamaa ni waoga sana wa baridi.

Asanteni Ara Chuga, masela wa Njiro, Moshono, Chekeleni, Ngaramtoni, Unga Limited, Sakina, Morombo, Ngarenaro, Makao Mapya hata wale nilio wasahau.

Vijiwe vyenu nilivyopita ni The Don, Mopao, Kokoriko, Uzunguni, Bills River, Picnic, Empire, Annex, Redwood.

Hakika zimekuwa siku 8 za purukushani nyingi na muda mchache wa kulala.

Fantastic stay in your city.

Karibuni pia kwa wanalizombe.
Vipi mkuu ulifanikiwa pia kuonja bange ya huko?
Nasikiaga eti iko vizuri sana
 
Aisee hapo kwenye boda boda umenikumbusha kitu ,madereva wa huku wanafujo sana toyo zao kwanza wametoa taa zake then wanaweka vile vitaa vidogo lkn mwanga wake mkali zinaumiza macho.

pili Toyo zao wanazifanyaje sijui zinatoa milio kama wa risasi mkali sana kama unamatatizo ya moyo ni hatari kwako ,na hio tabia karibu toyo zote nilizo kutana nazo

Nipo kijenge ,mwanama
Sema siku hizi zimepungua mkuu, yaani kelele za toyo Kama risasi ni kero. Mimi binafsi huwa sipandi pikipiki Kama sio boxer kwa sababu najua huwezi kuta anaendesha ni kiazi na haiwezi kuwa inatoa mlio wa risasi. Pikipiki zinazopiga kelele kwenye vijiwe vya mjini madereva toyo wengi walianza kuwaambia wenzao wahame vijiwe wasijepoteza wateja.
 
Sehemu nyingi za chakula hawajui kusonga ugali ukaiva vizuri.

Ugali umejaa mabuja, ungaunga, umepoa kama kuoza kidole kinaingia ndani.
Kweli, sehemu nyingi ugali hovyo. Sema Kuna baadhi ya maeneo ugali 🔥 sana wanajua mfano Blue House, Tanzanite etc
 
Mkuu huko ni kutalii tu na Bata Ila sio sehemu ya kuishi huko.
Kuna ukenya Sana huko na jamaa wa mkoa jirani ndo wamejaa sana.ukifungua biashara mtu kununua kwako mpaka ajue wewe Kama ni wa kwao.yaani huko ni Kenya typical.
Sishauri lakini ni maamuzi yako.huko ukikutana na mtu kitu Cha kwanza baada ya salamu ni "" aisee wewe ni mtu wa wapi""
Hapa mkuu sikubaliani na wewe, niko Chugga toka 2017 na ninajichanganya sana na wenyeji na sijawahi ulizwa mimi wa wapi. Pia kuhusu biashara, mbona mjini Kuna watu sio wenyeji wa Chugga au wachaga na wanaendesha biashara vizuri tu since wanapozifungua. Biashara mjini ni ujanja tu
 
Aisee hapo kwenye boda boda umenikumbusha kitu ,madereva wa huku wanafujo sana toyo zao kwanza wametoa taa zake then wanaweka vile vitaa vidogo lkn mwanga wake mkali zinaumiza macho.

pili Toyo zao wanazifanyaje sijui zinatoa milio kama wa risasi mkali sana kama unamatatizo ya moyo ni hatari kwako ,na hio tabia karibu toyo zote nilizo kutana nazo

Nipo kijenge ,mwanama
Hiyo inaitwa moshi tatu.
 
Hapa mkuu sikubaliani na wewe, niko Chugga toka 2017 na ninajichanganya sana na wenyeji na sijawahi ulizwa mimi wa wapi. Pia kuhusu biashara, mbona mjini Kuna watu sio wenyeji wa Chugga au wachaga na wanaendesha biashara vizuri tu since wanapozifungua. Biashara mjini ni ujanja tu
Nachomaanishia hao mangi si ndo wameishika mji huo.
Kama haulizwi samahani labda hauna impact kwao yoyote ile kiuchumi.
Kuwa na duka kubwa la Mali Fulani hapo town utaona labda utauzia chasaka wenzako.
Huo mji una ukabila sema hauujui vizuri.
Ukienda soko kuu hata wale wanunuzi wa samaki wabichi wananunua kwa wao tu. Wale wakuja wananunua kwa wauzaji wakuja ambao sio wenyeji.
Ukiwa hata na hiace pale Moshi mjini wakishaijua hakuna mchaga wa kuipanda.
Nipige uniue Ila mchaga hawezi akakuletea kabisa dili la Mana asipelekee wa kwao. Inaonekana wewe bado hujawajua hao kiuchumi na huku watanzania wanawachoroga walivyojazana kwa miji ya wengine na wao wananunua kwao.
Yaani mie naweza nikaipeleka hela kwa mtanzania yeyote yule ila sio mangi mkuu.
Kila mtu anavuna analopanda.
Hata Mbowe vikao vyake vyote vya kisiasa kila mkoa anaofikia lazima aende kwenye hotel ya mtu wa Kilimakyasharo.
Ama hukumbuki viti maalumu walivyojazana dada zao mpaka mtwara Mara babati huko anatoka manka viti maalumu.
Atakuja kununua Mali ya hela ndogo Kama kukuzuga kuwa sio hatuna ukabila Ila Sasa kubabake awe Ana bars hata tano afu unauza via jumla eti kila siku awe ananunua kwako vinywaji Kama vya 2M kwako wewe kyasaka.
Yaani jua linachomoza from West to East geography nimeisahau.
Hao ni Kama wakenya mkikuyu hanunui kwa mkalenjini ama mwalimu mjaluo akafundishe kwa wameru kila mtu anabaki kwao
 
Back
Top Bottom