Pia migahawa yao inafanana kwenye mapishi chakula utakacho kula dalaja mbili hakina tofauti na cha mwanama, hizo kachumbri sasa......lakini arusha nimekupenda sana nikimaliza kufanya kitu kilicho nileta huku ...nitafanya mapango nihamieSehemu nyingi za chakula hawajui kusonga ugali ukaiva vizuri.
Ugali umejaa mabuja, ungaunga, umepoa kama kuoza kidole kinaingia ndani.
Moromboo kwenye nyama za mbuzi umeenda tayari?Pia migahawa yao inafanana kwenye mapishi chakula utakacho kula dalaja mbili hakina tofauti na cha mwanama, hizo kachumbri sasa......lakini arusha nimekupenda sana nikimaliza kufanya kitu kilicho nileta huku ...nitafanya mapango nihamie
Hatari ! Lakini kinachofurahisha huku mahitaji ya chakula yanapatika kwa urahisi ,wingi na Kwa bei nzuri kidogo mfano unga bei ndogo sanaDah umenikumbusha mwanama aisee nilikaa kidogo sana hapo time naingia chuga nikiwa na swaga zangu za kibongo.
Ujanja wangu uliishia hapo. 😢😢watu Wa chuga sio Jamanim
Sure, hata mazaga ya sokoniHatari ! Lakini kinachofurahisha huku mahitaji ya chakula yanapatika kwa urahisi ,wingi na Kwa bei nzuri kidogo mfano unga bei ndogo sana
Daa wameru nao ni wakali kinouma.ukutane na wale dizaini ya sura za kisomali ivimke wangu mmeru ni pc kali ila meno ni ya dhahabu nliwahi muuliza chanzo nn akanambia maji.
Mkuu huko ni kutalii tu na Bata Ila sio sehemu ya kuishi huko.Pia migahawa yao inafanana kwenye mapishi chakula utakacho kula dalaja mbili hakina tofauti na cha mwanama, hizo kachumbri sasa......lakini arusha nimekupenda sana nikimaliza kufanya kitu kilicho nileta huku ...nitafanya mapango nihamie
Hizo nyama za moromboo hazina ladha kabisa[emoji848]Moromboo kwenye nyama za mbuzi umeenda tayari?
Karibu sana lakini jua kabisa huu mkoa wa kibishi sana wanaishi wabishi tyu
Vipi mkuu ulifanikiwa pia kuonja bange ya huko?Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania - Kazi iendelee.
Ilikuwa ni furaha kutoka Nyanda za Juu Kusini na kuja Ukanda huu wa Kaskazini mwa Tanzania.
Jiji maarufu kabisa kwa harakati za utalii.
Yafuatayo ndiyo niliyoyaona na mengine yamenishangaza.
1. Covid 19 imeutesa sana huu mji. Mishe zilizotegemea utalii zilikumbwa na pigo kama lile la afande moroto. Ingawa hali kama inarejea.
2. Ulaji nyama na unywaji wa pombe hufanyika kwa kiasi kikubwa mnoo. Si dhani kama kuna mkoa unawazidi hawa jamaa.
3. Utii wa sheria kwa watumiaji wa vyombo vya moto ni kama haiwahusu. Madereva wapo rafu mnoo. Watu pekee wanaojitahidi ni toyo/boda ingawa ni wapo wahuni wachache.
Uendeshaji magari ni tatizo katika hili jiji. Trafiki inabidi wafanye kazi ikiwa ni pamoja na kuchora upya namna ya matumizi ya barabara.
4. Watembea kwa miguu hawa ndiyo viburi waliopitiliza. Wanajiona nao ni kama magari/pikipiki.
5. Tabia za kibepari ni nyingi mno kuliko ujamaa. Wepesi pia kupeana michongo, wanaamini nao wanaweza tokea humo.
6. Bei za milupo nadhani bado bei elekezi inafanya kazi. Ila ukiwa mgeni unaweza pewa bill kubwa. Kuwa makini, wengine bado ni wezi hawaheshimu kazi zao.
7. Changamoto katika meno ya hawa watu ni shida. Demu mkali unakuta meno yameharibika, rangi zilizopitiliza. Sijajua chanzo hasa ni nini, je ni maji wanayotumia ama ulaji nyama uliopitiliza?
Iweje mamlaka ya maji safi wanashindwa kulitatua hili,wala madaktari wetu pia wameshindwa.
Hata kama linawapa identity bado ni mbaya pale inapodhidi,ingawa inaleta urembo kwa wengine.
8. Jamaa ni waoga sana wa baridi.
Asanteni Ara Chuga, masela wa Njiro, Moshono, Chekeleni, Ngaramtoni, Unga Limited, Sakina, Morombo, Ngarenaro, Makao Mapya hata wale nilio wasahau.
Vijiwe vyenu nilivyopita ni The Don, Mopao, Kokoriko, Uzunguni, Bills River, Picnic, Empire, Annex, Redwood.
Hakika zimekuwa siku 8 za purukushani nyingi na muda mchache wa kulala.
Fantastic stay in your city.
Karibuni pia kwa wanalizombe.
Hell noHizo nyama za moromboo hazina ladha kabisa[emoji848]
Kweli tena...nimekula mara kibao na majiko tofauti but nilikosa ladha[emoji848]Hell no
Nimeidere dingilai. Hawa jamaa wameishi nchi gani wanashindwa elewa hizi makituHapa ngoja nimuite Chaliifrancisco
Sema siku hizi zimepungua mkuu, yaani kelele za toyo Kama risasi ni kero. Mimi binafsi huwa sipandi pikipiki Kama sio boxer kwa sababu najua huwezi kuta anaendesha ni kiazi na haiwezi kuwa inatoa mlio wa risasi. Pikipiki zinazopiga kelele kwenye vijiwe vya mjini madereva toyo wengi walianza kuwaambia wenzao wahame vijiwe wasijepoteza wateja.Aisee hapo kwenye boda boda umenikumbusha kitu ,madereva wa huku wanafujo sana toyo zao kwanza wametoa taa zake then wanaweka vile vitaa vidogo lkn mwanga wake mkali zinaumiza macho.
pili Toyo zao wanazifanyaje sijui zinatoa milio kama wa risasi mkali sana kama unamatatizo ya moyo ni hatari kwako ,na hio tabia karibu toyo zote nilizo kutana nazo
Nipo kijenge ,mwanama
😁Malaya wa chuganistan wezi tu haoMzee hilo eneo nilikuwa nikifika kuondoka haikuwa kwa wepesi.. mtaa unauza papuchi sana. Kuna chochoro moja kwa chini wamekaa vibarazani wanapigia watu miluzi. [emoji23][emoji23]
Kweli, sehemu nyingi ugali hovyo. Sema Kuna baadhi ya maeneo ugali 🔥 sana wanajua mfano Blue House, Tanzanite etcSehemu nyingi za chakula hawajui kusonga ugali ukaiva vizuri.
Ugali umejaa mabuja, ungaunga, umepoa kama kuoza kidole kinaingia ndani.
Hapa mkuu sikubaliani na wewe, niko Chugga toka 2017 na ninajichanganya sana na wenyeji na sijawahi ulizwa mimi wa wapi. Pia kuhusu biashara, mbona mjini Kuna watu sio wenyeji wa Chugga au wachaga na wanaendesha biashara vizuri tu since wanapozifungua. Biashara mjini ni ujanja tuMkuu huko ni kutalii tu na Bata Ila sio sehemu ya kuishi huko.
Kuna ukenya Sana huko na jamaa wa mkoa jirani ndo wamejaa sana.ukifungua biashara mtu kununua kwako mpaka ajue wewe Kama ni wa kwao.yaani huko ni Kenya typical.
Sishauri lakini ni maamuzi yako.huko ukikutana na mtu kitu Cha kwanza baada ya salamu ni "" aisee wewe ni mtu wa wapi""
Hiyo inaitwa moshi tatu.Aisee hapo kwenye boda boda umenikumbusha kitu ,madereva wa huku wanafujo sana toyo zao kwanza wametoa taa zake then wanaweka vile vitaa vidogo lkn mwanga wake mkali zinaumiza macho.
pili Toyo zao wanazifanyaje sijui zinatoa milio kama wa risasi mkali sana kama unamatatizo ya moyo ni hatari kwako ,na hio tabia karibu toyo zote nilizo kutana nazo
Nipo kijenge ,mwanama
Nachomaanishia hao mangi si ndo wameishika mji huo.Hapa mkuu sikubaliani na wewe, niko Chugga toka 2017 na ninajichanganya sana na wenyeji na sijawahi ulizwa mimi wa wapi. Pia kuhusu biashara, mbona mjini Kuna watu sio wenyeji wa Chugga au wachaga na wanaendesha biashara vizuri tu since wanapozifungua. Biashara mjini ni ujanja tu