Safari yangu "Kitchanga" mji uliotekwa M23

Sasa kama wewe umependa si unabaki nacho na mimi ambaye sijapenda nipo huru kukosoa? Acheni unafiq na kujikomba. Katiba inaruhusu uhuru wa kujieleza. So mimi nipo sahihi pia. Mnakuwa machawa hata kwa mambo ya kijinga.
Hupaswi kuwa hivi.... Kama hupendi kitu ni wewe na ni tofauti kwa mitazamo ya wengine. Punguza majungu.
 
Kila nikisoma nilikuwa nasimama na kujiuliza. Huyu aliyeandika ndie muhusika mwenyewe. Sasa jinsi simulizi ya safari inavyotisha nabaki kujiuliza sasa huyu jamaa alifanikiwa kurudi au ndio keshakufa.

Very interesting. Nilikuwa na plan ya kutaka kwenda Congo kupitia Rwanda kutafuta soko LA chumvi.

Story inanipa nguvu, ramani na uhalisia. Lkn sijapanga kubadili mawazo yangu.

Swali sisi tunaoonekana kama wapemba usalama ukoje huko
 
Ilikuwa mwaka gani mkuu?
 

Mwendelezo sangapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…