Safari yangu "Kitchanga" mji uliotekwa M23

Safari yangu "Kitchanga" mji uliotekwa M23

Afu kule kinshasa nasikia ni kama ulaya watu wanaishi kama ulaya tofaauti na hata dsm yetu hapa
Huijui Dar wewe au umezuzuka na zile barabara za njia 4 4?
Hizi
Screenshot_20230128-144839.png
Screenshot_20230128-145053.png
 
Naona hakuna muendelezo hapa... Ndio mwisho
 
Kuna watu hamna akili na mnaonyesha n jinsi GANI uelewa kwenu n mdogo yan ujinga umewatawala alafu kuna mwingine kila Uzi lazima alete kujuana na watu.

ELEKEZO - elewa mada husika changia kama mada inavyosema huna cha kuchangia Kaa kimya mambo ya kijinga ya kujuana na kukumbushana ujinga wenu angalia juu ya simu Yako kulia kuna kibahasha bonyeza hicho na umwandikie huo ujinga mwenzako.

Mjue mnaharibu Uzi za watu
 
Justine Marack tulia tu taratibu ukipata muda shusha madini mengine kwa kina usifiche kitu. Na mtu akikusumbua mimi nita deal naye. Tunataka watu wenye shuhuda za kutafuta pesa Kiume wasipewe bughudha. Siyo mtu anakuja simulia uzi wa kupata pesa kwa kupewa tender ya kumgegeda msukule. Hizo tabia zinasababisha vijana wengi wawe mashoga.

Ila huu uzi wako unakomaza zaidi wanaume wanakomaa na kuzidi kuimalika kuwa maisha ni vita. So uwe na amani tupo humu watu wazima na tutakulinda utoe ushuhuda wako kwa utulivu. Huu uzi tuta uhifadhi uje kuwa uzi bora wa kiume wa kutafuta njuruku.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]shenzi ww umenichekesha mpaka watu wananiona chizi hapa eti uzi wa kugegedana na msukule [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom