Safari yangu "Kitchanga" mji uliotekwa M23

Safari yangu "Kitchanga" mji uliotekwa M23

Vp pembe zao nazo zinauzwa au akisha chinjwa zinatupwa dampo? Pia naomba kufahamishwa utofauti wa pembe za hao ng'ombe na zile za ndovu na faru
Nafahamu kuhusu ngozi wengine wanatumia kuwekea kwenye vitanda inakua km godoro,wengine wanatengeneza vitu vya asili nakuuza Kigali mjini au hata Goma mana kuna airport kule wageni wengi. ..Ila pembe ckumbuki kuziona mtaani
 
Kuna watu mnatukana bila sababu. Sio lazima usome. Kazi sio kuandika tu tunamajukumu mengine. So tuwe na staha kidogo wengine Sio wavumilivu wa kutukanwa bila aababu
Tatizo na nyie waleta story huwaga mko na maringo Sana, unaanza kuhadithia vizuri na ukishaona Kuna muitikio mkubwa wa wadau basi visingizio vinakuwa vingi Mara majukumu na blablaa kibao zisizo na maana yoyote...

Kwani Hadi ulipofikia uamuzi wa kuleta stori hapa jf hukujua Kama utakuwa na majukumu mengine?

Mleta stori anaweza kukuambia yupo na majukumu mengine lakini muda wote yupo active online anafuatilia kila kitu na wakati mwingine ana reply kabisa comments za watu.

Cc UMUGHAKA , Justine Marack, et Al.

Waleta stori pevukeni basi...
 
Kuna watu mnatukana bila sababu. Sio lazima usome. Kazi sio kuandika tu tunamajukumu mengine. So tuwe na staha kidogo wengine Sio wavumilivu wa kutukanwa bila aababu
Kwa wenye kutaka story hii kamili jiungeni na a/c yake ya telegram mpate uhondo kamili,utalipia buku tu kwa mwezi.
 
Kwa wenye kutaka story hii kamili jiungeni na a/c yake ya telegram mpate uhondo kamili,utalipia buku tu kwa mwezi.
Jf itabidi itoe mwongozo juu ya hawa waleta stori ili pale watakapo tenda kinyume adhabu iwe juu yao.[emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji1][emoji1] Dawa Ni wakianza kutoa story yao,Modes hawaiachi hewani mpk pale inapokua imekamilika.
Hawa majamaa wakiachwa waendelee na hizi tabia zao watasababisha kudhalaulika ama kupuuzwa kwa stori za watu wengine wasio na tabia Kama zao...

Ni vyema mleta stori aweke wazi kuwa mwendelezo wa stori yake utakuwaje kwamba ni kila baada ya masaa/siku,/wiki/ miezi mingapi ili kumuondolea usumbufu msomaji...

Kisingizio cha kuwa mtu uko na majukumu mengine kinakosa mashiko kwani hakuna member aliyoko humu jf halafu akakosa majukumu mengine...
 
Hawa kuleta stori nusu na itaendelea wanatengeneza utaratibu ambao hautokuja kuwa rafiki hapa jf huko mbeleni hili nimeliona Kuna muda itaamuliwa uandike yote ndio Moderator waamue kuiachia au wacopy na kupaste alafu mwishoni waamue kukupa credit au waache.

Hili nimeliona na sio muda litakuwa Sheria sasa hapa mods watakuwa maarufu na wenye stori watabaki kuwa walivyo mwisho wasiku hakuna atakae leta stori humu sababu ya watu wasiokuwa makin
 
Back
Top Bottom