Safari yangu "Kitchanga" mji uliotekwa M23

Safari yangu "Kitchanga" mji uliotekwa M23

Nilipadharau sana Congo baada ya kusoma hii thread nikaingia youtube nakuona hii video ya Goma. Nilidhaniaga Goma ni kijiji flani hivi kumne mji tena msafi uliopangiliwa na Kuna msosi wa kila aina.



Jina Kigoma ndio limetokana na jina Goma, zamani katika miaka ya 1600 pamoja na makabila mengi ya kimanyema kuna kabila moja la wamanyema Walitokea huko Goma na kuhamia Lwama/Bugoi (majina ya zamani ya mkoa wa kigoma) walipofika ujiji na kuishi hapo ndipo jina la Ki-Goma likapatikana kutokana na hilo kabila la Wagoma kutoka Goma.
 
Done that?
Man was kinda Hell , to witness all those young boys and girls suffering and the world is just watching or acting to help them while they are just serving food to their plates instead of ending the war !i saw it with my own eyes ,it was difficult to help because of the international treaties during the war (.......)from onother country you cant be engaged...there’s was the guy even gave me Gold to convince me ! Told them i would be happy to help them free but nothing I can do it was beyond my limits !
 
Back
Top Bottom