Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 69,329
- 164,730
Kila mtu na matamanio yake ujue.Huyu Mheshimiwa kama angepewa nafasi ya kuchagua mahali pa kuishi kati ya Msoga Tanzania na Maryland Marekani, nadhani faster angechagua kwenda kuishi kwa Joe Biden!
Na wakati swali la aina hiyohiyo ungemuuliza Mwalimu kati ya Butiama na Maryland, basi jibu lake lingeshangaza American babies na wabeba maboksi wengi.