Safari za Maulid Kitenge mara kwa mara kulikoni?

Wala yeye haelewi kuwa humpendi na maisha yake yanaendelea kama kawaida.

Chuki ya wengi kwa Maulid Kitenge ni kwamba wanaona kuwa ' Jamaa ' hana Elimu yoyote kubwa kulingana na wao ( Wasomi ) waliopo humu JF lakini Yeye ( Maulid Kitenge ) ni maarufu, ana Pesa na maendeleo makubwa mno Kimaisha kitu ambacho pamoja na huo Usomi wao bado hawajamfikia na kuna hatari pia hata wasije kumfikia. Huo ndiyo ukweli Mkuu.

Jamani tunaojiita Wasomi tukumbuke kuwa kusoma sana hadi kufikia ngazi mbali mbali za ' Kitaaluma ' siyo ' justification ' ya Wewe kuwa tajiri au na mafanikio makubwa maishani ILA tu tukumbuke kwamba katika maisha ya Binadamu pia kuna suala la ' Bahati ' na pia kujua ' kuzichanga ' vizuri ' Karata ' zako za Kimaisha.

Na Mwenyezi Mungu alivyo wa ajabu kadri tunavyozidi ' kumnanga ' Maulid Kitenge kwa ' roho ' zetu za ' husuda ' basi ndiyo kwanza Mungu anamzidishia Yeye na vile ambavyo pengine alikuwa anataka kutupa anaghairi na vyote anavielekeza kwake ( Maulid Kitenge ).

Habari ndiyo hiyo!
 
Watu wanahangaika na mipango yao halafu wewe unakaa kuwachanguza, kaa hivyohivyo, magari na nyumba nzuri utaziona kwa wenzio
 
Duh safi ..happo anakula dolari za kutosha kabisa
 
Huyu jamaa mbona anasafiri sana nchi za watu? Kila siku ye yupo angani tu anabadilisha flights kama dala dala, mara UK, Sweden, south Africa, na mara nyingi zinakua safari binafsi, anapata wapi pesa zote hizo?
Jamaa anaenda south kila week kutangaza mechi za ligi ya uingereza super sport unategemea analipwa sh ngap????
 
Kula tano bingwa ...
 
Mkuu Si vema kutolea mfano kwa watu waliotangulia mbele za haki. R. I. P bi kidude

Sijamdhihaki kama labda sababu ya ' Uzee ' wake bali nimemtumia tu yeye kutokana na ' Umri ' wake mkubwa aliokuwa nao ndiyo nikamlinganisha na ' Mijimama ' ya huyo ' Pimbi ' niliyemjibu. Hata hivyo naomba radhi sana Kwako na hata kwa wale wengine wote ambao ' wamekwazika ' na Mimi kumtumia ' Marehemu ' Bi. Kidude kama mfano wa ' Mijimama ' ya huyo Jamaa. Nisameheni na sikuwa na nia mbaya kwani yoyote ile Kwake yeye.
 
Ni kweli kabisa. Si vema kumchukia mtu kwa ajili ya mafanikio yake. We compare our worst possession with the best possession of others.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…