358...
Jason Bourne amededi
Duh, Mwaka mzima alikua nje ya nchi
Ni nchi ngapi zimebaki ili amelizane na dunia?
Hizo ni ukichanganya na mikoani au ni za nje ya nchi tu?
Jamani , Msumbiji tena! kuna nini kule aende? ngoja Frelimo walianzishe ataenda tu........... ivi amko proud rais wenu awe msuluishi amongst neighbours jama...!Sijawahi sikia anafanya ziara msumbiji.
Wakuu hapa naomba kujua, hizo 313 ni idadi ya safari ama idadi ya siku ambazo amekuwa nje ya nchi?
Kama ni idadi ya safari basi anafaa kuingizwa kwenye Guiness Book of Records na tutumie hilo kama kigezo mojawapo cha kuvutia watalii e.g 'Welcome to Tanzania the land of Kilimanjaro and home to the most traveling President'
Ndg. Naomba ufanye uodate.... Kuna safari lukuki kama tano ambazo hazijafanyiwa update.....
Afrika Kusini, Polland, Uganda, na Sasa France, ila kuna nyingine pia
CC: 43696
Yericko Nyerere