Safari za Rais Jakaya Kikwete tangu aingie madarakani 2005

Safari za Rais Jakaya Kikwete tangu aingie madarakani 2005

Mkuu Jason Bourne, njoo u update safari za mkulu huku nimesikia yupo kwa wazungu. Utuambie hii ni safari ya ngapi.
 
Last edited by a moderator:
Duh, Mwaka mzima alikua nje ya nchi

. . . Na bado, kuelekea 2015 atakuwa anakula raha ughaibuni tu. Nadhani after 2015 atahamia huko huko kimoja kwani hapendi hali ya hewa ya hapa TANZANIA vinginevyo tungeshaona faidaze
 
Mkuu Jason Bourne, update za mwezi wa October na November, kuna safari kama tatu hivi. Halafu ikiwezekana anapofika mwishoni mwa mwaka 2015 tupige jumla ya siku alizokaa nje.
 
Last edited by a moderator:
Akmbilie Saudia ili iweje tena, Muislamu sio? kuna mijitu umu mitumwa ya kidini........ ivi katika zama kama izi mtu bado unakuaje mtumwa wa kidini kama ivi..............unamfananishaje Mr Prsdnt na Idd Amini?......aaaah kiazi kamfananisha kwa zile dini zao kumbe....!
 
Sijawahi sikia anafanya ziara msumbiji.
Jamani , Msumbiji tena! kuna nini kule aende? ngoja Frelimo walianzishe ataenda tu........... ivi amko proud rais wenu awe msuluishi amongst neighbours jama...!
 
Mh...... mbona hamsemi ataamia china, au marekani? au ulaya anakoenda pia? aaaah Mrishoooo muislamu kumbe? waislamu kwao Uarabuni.......wakristo apa ndo kwaooo....achene udini jamaniiii.... tuna mengi ya kufikiria na kufanya if we think together.......! ii midini mmeletewa lakini utadhani yenu vile aaaaaaaaah!
 
Kodi zetu.... Hivi JD ya rais ikoje? JK 95% of his time ni international travels sasa sijui Membe kazi yake nini? Mabalozi kazi zao nini huko nje?
 
Ndg. Naomba ufanye uodate.... Kuna safari lukuki kama tano ambazo hazijafanyiwa update.....

Afrika Kusini, Polland, Uganda, na Sasa France, ila kuna nyingine pia

CC: 43696

Yericko Nyerere
 
Wakuu hapa naomba kujua, hizo 313 ni idadi ya safari ama idadi ya siku ambazo amekuwa nje ya nchi?

Kama ni idadi ya safari basi anafaa kuingizwa kwenye Guiness Book of Records na tutumie hilo kama kigezo mojawapo cha kuvutia watalii e.g 'Welcome to Tanzania the land of Kilimanjaro and home to the most traveling President'

Hiyo kweli Anafaa
 
Hizo ni za nje na bado ziara za ndani nadhani katika miaka nane tangu aingingie madarakani nadhani miaka mitatu au minne ameitumia njee ya ofisi.
 
Ndg. Naomba ufanye uodate.... Kuna safari lukuki kama tano ambazo hazijafanyiwa update.....

Afrika Kusini, Polland, Uganda, na Sasa France, ila kuna nyingine pia

CC: 43696

Yericko Nyerere

Jason Bourne, upo wapi mkuu?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom