Safari za Rais Samia Nje ya Nchi zimekuwa zenye mafanikio makubwa sana, ni muwindaji mwenye shabaha aingiapo mawindoni

Balozi wa nchi hawezi kuchukua nafasi ya Rais wa nchi, siyo kila majadiliano anayeweza Balozi, ndio maana unaona hata akina Joe Biden au Emmanuel macron wakisafiri kukutana na viongozi wenzao
Ndio maana nimekwambia kichwani mwako ni kweupe.
 
And that's a Priority ?

Unaonaje kama hio kazi anaiweza Vema Tusimpatie Ubalozi nchi tofauti tofauti miezi sita sita ili atuletee hizo Neema; Humu ndani tutafute mwingine wa kutuletea Neema ?

Au hapa tulipofika ndio Tamati hakuna mazuri zaidi ?
Acha dharau mkuu,usifananishe Rais wetu na Balozi, Huyu Ni mkuu wa nchi na serikali,huyu Ni Amiri Jeshi mkuu wa majeshi ya ulinzi na usalama
 
Hatujawahi kupata kiongozi toka nchi imepata uhuru wake. Wote naona wanapuyanga
 
Kila Zama na kitabu chake, Zama hizi Ni za mama Samia ambapo ukifungua kila Ukurasa wa kitabu chake unakuta kimejaa mafanikio katika kila nyanja na secta, utakuta ni kitabu chenye matumaini katika kila Ukurasa, Ni kitabu unachotamani ukisome muda wote bila kukiweka chini
 
watu dizaini ya mtoa mada ni shaba tu, hapo tutasogea
Utaua watanzania wote Hadi mama yako, maana mama Samia anakubalika na mamilioni ya watanzania kwa namna alivyojenga nchi hii ndani ya muda mfupi Sana Hali iliyoinua matumaini ya watanzania wote kuweza kuinuka kiuchumi
 
Utaua watanzania wote Hadi mama yako, maana mama Samia anakubalika na mamilioni ya watanzania kwa namna alivyojenga nchi hii ndani ya muda mfupi Sana Hali iliyoinua matumaini ya watanzania wote kuweza kuinuka kiuchumi
siku ukiachika hapo ulipoolewa ndio utajua hali halisi, nikutakie ndoa njema mkuu!
 
Kijana apewe kazi yoyote ikulu hata ya kudeki barabara ili atoke kwa shemeji yake.
 
Mkuu umesahau namba ya simu
 
Hivi wewe Lucas mwashambwa, baada ya kuandika upuuzi wako humu huwa unajipiga kifua ukijisifia ulivyochangia hoja...kweli nyani haoni **** lake! Pole sana!
Unaheshimika Sana humu kwa hiyo tumia maneno yenye hekima busara na staha, onyesha uvumilivu hata pale tusipokubaliana au tunapotofautiana kimtizamo, kupinga pinga kila kitu siyo ushujaa Bali Ni ishara inayoonyesha kutokukomaa kimawazo,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…