Safari za Rais Samia Nje ya Nchi zimekuwa zenye mafanikio makubwa sana, ni muwindaji mwenye shabaha aingiapo mawindoni

Safari za Rais Samia Nje ya Nchi zimekuwa zenye mafanikio makubwa sana, ni muwindaji mwenye shabaha aingiapo mawindoni

Balozi wa nchi hawezi kuchukua nafasi ya Rais wa nchi, siyo kila majadiliano anayeweza Balozi, ndio maana unaona hata akina Joe Biden au Emmanuel macron wakisafiri kukutana na viongozi wenzao
Ndio maana nimekwambia kichwani mwako ni kweupe.
 
And that's a Priority ?

Unaonaje kama hio kazi anaiweza Vema Tusimpatie Ubalozi nchi tofauti tofauti miezi sita sita ili atuletee hizo Neema; Humu ndani tutafute mwingine wa kutuletea Neema ?

Au hapa tulipofika ndio Tamati hakuna mazuri zaidi ?
Acha dharau mkuu,usifananishe Rais wetu na Balozi, Huyu Ni mkuu wa nchi na serikali,huyu Ni Amiri Jeshi mkuu wa majeshi ya ulinzi na usalama
 
Uharo mtupu,kipindi Cha Kikwete,alisafiri sana,wasifiaji wakasifia,tukaambiwa safari zinaleta faida,kuripo kucha,tukagundua,gesi imeuzwa,EPA,meremeta,Richmond,ufisadi kwenda mbele,likaja shetani kutoka chato,kwa vile halijuhi kizungu,likasema lenyewe halitasafiri nje ya nchi,likaua,likaiba,lilipockufa,nicmadudu pekee yamebaki,
Ccm ni Sawa na shetani mwenye mguu mmoja.
Hatujawahi kupata kiongozi toka nchi imepata uhuru wake. Wote naona wanapuyanga
 
Uharo mtupu,kipindi Cha Kikwete,alisafiri sana,wasifiaji wakasifia,tukaambiwa safari zinaleta faida,kuripo kucha,tukagundua,gesi imeuzwa,EPA,meremeta,Richmond,ufisadi kwenda mbele,likaja shetani kutoka chato,kwa vile halijuhi kizungu,likasema lenyewe halitasafiri nje ya nchi,likaua,likaiba,lilipockufa,nicmadudu pekee yamebaki,
Ccm ni Sawa na shetani mwenye mguu mmoja.
Kila Zama na kitabu chake, Zama hizi Ni za mama Samia ambapo ukifungua kila Ukurasa wa kitabu chake unakuta kimejaa mafanikio katika kila nyanja na secta, utakuta ni kitabu chenye matumaini katika kila Ukurasa, Ni kitabu unachotamani ukisome muda wote bila kukiweka chini
 
watu dizaini ya mtoa mada ni shaba tu, hapo tutasogea
Utaua watanzania wote Hadi mama yako, maana mama Samia anakubalika na mamilioni ya watanzania kwa namna alivyojenga nchi hii ndani ya muda mfupi Sana Hali iliyoinua matumaini ya watanzania wote kuweza kuinuka kiuchumi
 
Utaua watanzania wote Hadi mama yako, maana mama Samia anakubalika na mamilioni ya watanzania kwa namna alivyojenga nchi hii ndani ya muda mfupi Sana Hali iliyoinua matumaini ya watanzania wote kuweza kuinuka kiuchumi
siku ukiachika hapo ulipoolewa ndio utajua hali halisi, nikutakie ndoa njema mkuu!
 
Kijana apewe kazi yoyote ikulu hata ya kudeki barabara ili atoke kwa shemeji yake.
 
Ndugu zangu safari za Rais Samia Nje ya nchi Zimekuwa Ni zenye matunda kwa nchi yetu, zimekuwa Ni zenye mafanikio katika uwekezaji wetu,zimekuwa Ni zenye Tija katika kuimarisha ushirikiano wa kibiashara,zimekuwa Ni zenye mafanikio katika fursa za ajira kwa vijana, kila anakokwenda Rais Samia unaona namna ambavyo fursa zinamwagika na kutiririka nchini.

Mapema kabisa wa uongozi wake Rais Samia alifanya ziara nchini Kenya, Katika ziara hiyo alifanya mazungumzo na mwenyeji wake mh uhuru kenyata, Tangia wakati huo mahusiano yetu na Kenya yamekuwa mazuri Sana, husikii Tena uzuiaji wa mahindi mipakana,husikii Tena kurushiana maneno, husikii Tena kukomoana. Sasa mazao ya Tanzania Hasa Mahindi yanakwenda na kuingia Kenya bila shida yoyote Hali iliyopelekea wakulima wa Tanzania kupata Bei nzuri ya mahindi na kunufaika na jasho lao. Sasa Tanzania na Kenya Ni zaidi ya majirani,Sasa Ni ndugu

Rais Samia Ni muwindaji Hodari, muwindaji mwenye Shabaha,muwindaji anayejuwa ameingia msituni kufanya Nini na kutafuta Nini,muwindaji ambaye Hawezi kutoka mikono mitupu msituni, Rais Samia Ni muwindaji anayetafuta fursa kwa ajili ya nchi yetu kila aendako, Ni muwindaji ambaye kwokwote anakokwenda lazima Taifa letu lipate fursa

Sote Tumeona katika ziara yake nchini China namna ambavyo safari hiyo imekuwa ya mafanikio, namna ambavyo Tanzania inakwenda kunufaika na fursa za kiuwekezaji na kibiashara na namna ziara hiyo ilivyofungua Ukurasa mpya wa kidiplomasia pamoja na namna heshima Tuliyopata Kama nchi kupitia Rais wetu mpendwa kipenzi Cha watanzania Hadi kufikia kusamehewa Deni la takribani billioni 31 fedha zitakazo saidia kijenda Madara,vituo vya Afya,uchimbaji wa visima virefu vya maji, n.k,

Asante Sana Rais wetu Mama Samia kwa kazi kubwa unayoendelea kuifanya, usikatishwe Tamaa na maneno ya wachache, usivunjike moyo Rais wetu,usirudi nyuma Rais wetu mpendwa, Songa Mbele Rais wetu,chapa kazi Rais wetu mpendwa, Watanzania tupo tunaendelea kukuombea Afya njema na nguvu za Kuendelea kututumikia, Tunakuamini Sana Rais wetu na tutaendelea kukuunga mkono wakati wote

Kazi iendeleee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na sauti

Lucas Hebel Mwashambwa, kijana mzalendo na mpenda nchi yangu
Mkuu umesahau namba ya simu
 
Hivi wewe Lucas mwashambwa, baada ya kuandika upuuzi wako humu huwa unajipiga kifua ukijisifia ulivyochangia hoja...kweli nyani haoni **** lake! Pole sana!
Unaheshimika Sana humu kwa hiyo tumia maneno yenye hekima busara na staha, onyesha uvumilivu hata pale tusipokubaliana au tunapotofautiana kimtizamo, kupinga pinga kila kitu siyo ushujaa Bali Ni ishara inayoonyesha kutokukomaa kimawazo,
 
Back
Top Bottom